Na0mbeni msaada apa wanajf ku apeal kwa mtu alopata mkopo mdogo ila hana wazaz wote wawili inawezekana? O ni kwa wale walokosa kabisa..
we mwambie a-appeal 2 na watampa 100%. Mi mwenyewe nakumbuka nilipata 80% lakn wakaja kunipa 100%Na0mbeni msaada apa wanajf ku apeal kwa mtu alopata mkopo mdogo ila hana wazaz wote wawili inawezekana? O ni kwa wale walokosa kabisa..
hizo % zilizobaki utamlipia wewe? Ebu tumia kichwa kufikiri, hapa hoja siyo kuachiana.Waachie wenzako waliokosa nao!. Unataka 100% kwel watanzania hatupendani.