KTMA Awards is fair or failure? A lot of complains from the nominees

Danyel mweusi

Member
Nov 17, 2012
81
19
Hizo awards za Kilimanjaro mbona kila siku zinakuwa na malalamiko mengi kuliko shukran, je kunaweza kukawa na uteuzi wa washindi kabla ya tuzo maana hata kwenye list za washindani haziendani kabisa..
 
ulikuwa ukirefer to what hapo..........,

anything is possible kibongo bongo
kupanga washindi inawezakana
 
Back
Top Bottom