luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,257
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri