Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

Utamaduni wa ajabu sana. Hivi kwanini wasiende kwao hata wakati/mwezi mwingine wa mwaka? Lazima iwe Desemba tu? Wanajisababishia usumbufu na kuwasababishia usumbufu wasafiri wengine wa kawaida, bila sababu za msingi.
Ndio muda mzuri wa kupiga hesabu, biashara asubuhi jioni (desemba)mahesabu
 
Wekeni na picha za makazi yenu binafsi. Mnaweka za makanisa na mabank ili iweje!?
Sawa hizi hapa,una swali lingine?
1612389413.jpeg
101509288.jpeg
259281605.jpeg
 
Utamaduni wa ajabu sana. Hivi kwanini wasiende kwao hata wakati/mwezi mwingine wa mwaka? Lazima iwe Desemba tu? Wanajisababishia usumbufu na kuwasababishia usumbufu wasafiri wengine wa kawaida, bila sababu za msingi.
Mbona tunaendaga mkuu.?

Pia dec ni Holiday season. Utawapangiaje watu namna ha kuitumia likizo yao.
 
Nasikia bia zimeadimika huko Kilimanjaro.

Bukoba huku tumepata upungufu wa Hennessy, Ciroc, Belaire, Grants, Macallan, Famous grouse, Gordons, smirnoff, Remy Martin, Jonnie Walker Green Label, Blue Label, Double Black Shivas, Jack Daniel, Captain Morgan.

Watu wamezichangamkia mno na kuhujumu

Hapa tunapanga kuagiza mzigo wa kutosha Uganda
yaelekea nyie huko huwa hamnywi bia hizi za maji chumvi
 
Nasikia bia zimeadimika huko Kilimanjaro.

Bukoba huku tumepata upungufu wa Hennessy, Ciroc, Belaire, Grants, Macallan, Famous grouse, Gordons, smirnoff, Remy Martin, Jonnie Walker Green Label, Blue Label, Double Black Shivas, Jack Daniel, Captain Morgan.

Watu wamezichangamkia mno na kuhujumu

Hapa tunapanga kuagiza mzigo wa kutosha Uganda

Kwa kweri hata service za magari yetu Mercedes, Lamborghini,Audi,BMW.....imekuwa shida tumeagiza Oil kutoka France,Germany,USA ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom