Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,822
2,000
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri
FB_IMG_16088097729311328.jpeg
FB_IMG_16083645629781469.jpeg
FB_IMG_16079522463393714.jpeg
FB_IMG_16074968320968981.jpeg
 
MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,632
2,000
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri View attachment 1658293 View attachment 1658294 View attachment 1658295 View attachment 1658296
Wewe dogo una mambo ua kitoto sana.

Unapenda league sana hata kwenye mambo useless KABISA.

Childish
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,555
2,000
NILIKUWA NA MPELEKA DOGGO AENDEMOSHI NILICHOKIIONA N KAMA TUNAKIMBILIA UHAMISHONI JINSI UNAVYOTESEKA KUPATA USAFIRI SITOSAHAU KABISA

TUNAPOLEKEA TUTAAMUA KUWA WAZARAMO SIKU ZA SIKUKUUU SIO KWA MATESO YALE AISEE
 
Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
612
1,000
Nasikia bia zimeadimika huko Kilimanjaro.

Bukoba huku tumepata upungufu wa Hennessy, Ciroc, Belaire, Grants, Macallan, Famous grouse, Gordons, smirnoff, Remy Martin, Jonnie Walker Green Label, Blue Label, Double Black Shivas, Jack Daniel, Captain Morgan.

Watu wamezichangamkia mno na kuhujumu

Hapa tunapanga kuagiza mzigo wa kutosha Uganda
 
Carleen

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
4,703

Good Lord,
Wacha niendelee kufukuza nzi watakaotua jirani na fanta yangu tu, maana kuna majina ningeona hapo bila kuambiwa ni pombe ningejua zangu ni majina ya waigizaji wa kimarekani..!!
 
All - Rounder

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
2,671
2,000
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri View attachment 1658293 View attachment 1658294 View attachment 1658295 View attachment 1658296
Na Sisi wa Dar es Salaam tunashukuru Kuwakopesha kwa muda tu Mabalaa mengi ya Ujambazi, Udhulumati na Utapeli wana Mkoa wa Kilimanjaro.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom