KRA yavunja rekodi kwa kukusanya Kshs 1,607,000,000 kwa hela ya madafu hizo ni kama Tshs 36,961,000,000

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,884
49,035
Huwa tunawatahadharisha muache kushindana na ndovu kunya, mtapasuka kule kule, haka kainchi ketu kadogo hakana madini wala raslimali za asili, na zaidi ya nusu ni kame tupu lakini humu kuna watu wanajituma na kutumia ubongo hadi raha, tunaendelea kuongeza pengo la kiuchumi baina yetu na majirani hadi inakaribia kuwa mara mbili yao. Kweli hauwezi ukapewa vyote, unapewa raslimali unanyimwa ubongo au upewe ubongo unyimwe raslimali, chagua moja basi.

====

The Kenya Revenue Authority (KRA) has hit a new record high in the collection of tax despite the covid-19 pandemic which has seen multiple sectors of the economy shrink.

The authority amassed Ksh 1.607 trillion for the financial year 2019/2020 as compared to Ksh 1.580 trillion collected over the same period between July 2018 and July 2019.

KRA thus collected Ksh 27 billion more, which translates to 97.9% performance rate and 1.7% revenue growth as compared to the 2018/2019 financial year.

Commissioner General, Githii Mburu, stated that taxman also collected Ksh 97.1 billion as Agency Fees.

a

Treasury CS Ukur Yattani (right) poses for a photo at Treasury Headquarters, Nairobi on Thursday, June 11, 2020, ahead of Budget 2020/21 presentation FILE

"This is revenue collected on behalf of other government agencies mainly at the ports of entry. They include Road Maintenance Levy, Airport Revenue, Aviation Revenue, and Petroleum Development Fund amongst other levies," Mburu stated.

The growth was attributed to increased and early remittance from the finance, insurance and manufacturing sectors.
 • Value Added Tax dropped by 7% while Pay as You Earn (PAYE) grew by 2%. Withholding taxes recorded an 18.2% growth.
  The authority, however, still missed its initial target by Ksh 275 billion. The National Treasury under CS Ukur Yattani had targetted a record high of Ksh 1.88 trillion in tax collected.
  This explains why Kenya's borrowing level rose. Yattani borrowed over 30% of Kenya's 2.79 trillion budget.
  Digital service fees was added as a new tax for the financial year 2020/21, meaning online business transactions will now be taxed at a rate of 1.5 per cent.
  The government is also planning to reintroduce the 20% excise duty imposed on betting firms in November 2019. The duty was scrapped off after Kenyatta was shortchanged into signing the Finance Bill 2020.

 • Kenya Revenue Authority signage on a building

  Kenya Revenue Authority signage on a building
  TWITTER
KRA Hits New Record in Tax Collection
 
Bidhaa Ambazo mlikua mnatuadhibu nazo siku hizi viwanda hadi uchochoroni vipo, viberiti, cement, sabuni, pipi, jojo, maziwa,
 
Hako ka nchi kenu kimekusanya mabilioni mingi mingi lakini wafaidikaji ni Mabosi fulani fulani, wewe unaganga njaa hapo unaanzisha maada lazima ufanye comparison na mkubwa wenu :D

Baizawey, pesa ya Covid imewafikia wananchi au ndio tusizungumze hilo tuzungumzie kuwa mmepata tu pesa za covid?
 
Sisi tuna mahindi, mchele, ufuta, asali, vitunguu, mtama, kwahiyo kila mtu abaki kwake lakini mtuletee watoto wetu mtoto wa diamond na ali kiba tunawataka huku kwetu

Naona ujumbe umeuelewa vyema, haupewi vyote kunavyo utanyimwa, uchague kati ya ubongo au raslimali.
 
Malizia kwa kuweka tofauti iliyopo afu ueleze na miaka ya nyuma ilikuaje, mko na 36.9 na sisi tuko na 34.9, jiandaeni tu psychologically. View attachment 1543717

Kingereza huwa kinawatesa hadi mnatia huruma, tafuta mtu akutfsirie hiyo picha utatia akili baada ya kuona aibu, hehehe unatuletea taarifa hadi za mkopo eti ni makusanyo ya kodi.
 
Kingereza huwa kinawatesa hadi mnatia huruma, tafuta mtu akutfsirie hiyo picha utatia akili baada ya kuona aibu, hehehe unatuletea taarifa hadi za mkopo eti ni makusanyo ya kodi.
Nani kakudanganya mapato yanayokusanywa na KRA pamoja na TRA ni kodi pekee, umejaa funza upstairs ndo maana huwezi hata andika trillion kwa numbers unaandika billion.
View attachment 1543773
 
Malizia kwa kuweka tofauti iliyopo afu ueleze na miaka ya nyuma ilikuaje, mko na 36.9 na sisi tuko na 34.9, jiandaeni tu psychologically. View attachment 1543717
Aisee, yaani imeandikwa wazi Government Domestic Revenue- 23.2Trillion(hela za madafu) na bado umeshindwa kabisa kuelewa. Sasa hiyo ndio unasema inakaribiana na 36.9Trillion za KRA?
 
Back
Top Bottom