Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,868
- 19,258
unataka data ipi sasa? Zaidi ya hii?Njoo na data mkuu,porojo nyingi hazitoshi lete ushahidi
unataka data ipi sasa? Zaidi ya hii?Njoo na data mkuu,porojo nyingi hazitoshi lete ushahidi
Huyo ni Mkenya, huwa anajifanya Mtanzania.Hii ya 14 umetoa ktk chanzo gani? Ili uaminike
Mara mbili bado haifiki pia,huwezi kukadiria pesa.Makusanyo siyanaendana na shughuli za uzalishaji mali katika eneo husika. Mfano hapa Tanzania kuna wafugaji wenye Ng'ombe kwa maelfu hao wakipata soko wanalipia kodi wapi? Kwa siku moja zinauzwa Ng'ombe, mbuzi kondoo ngapi ambazo hazilipiwi kodi?Bado serikali inamtambua mfugaji kama choka mbaya wakati huingiza fedha nyingi sana kuliko watu wengi wa kawaida. Kwann basi wasitengeneze utaratibu wa kukusanya walau 5% kwa kila Ng'ombe atakaeuzwa, pesa zipo nyingi zinazunguka hazisomeki kwenye mfumo.Hata hiyo yako mara mbili bado ni aibu.
Mara mbili bado haifiki pia,huwezi kukadiria pesa.Makusanyo siyanaendana na shughuli za uzalishaji mali katika eneo husika,Mfano hapa Tanzania kuna wafugaji wenye Ng'ombe kwa maelfu hao wakipata soko wanalipia kodi wapi?kwa siku moja zinauzwa Ng'ombe, mbuzi kondoo ngap ambazo hazilipiwi kodi?Bado serikali inamtambua mfugaji kama choka mbaya wakati huingiza fedha nyingi sana kuliko watu wengi wa kawaida.. Kwann basi wasitengeneze utaratibu wa kukusanya walau 5% kwa kila Ng'ombe atakaeuzwa ,Pesa zipo nyingi zinazunguka hazisomeki kwenye mfumo
Ishu kama TIN no Wameiweka tu lkn haifanyi kazi had uende ofisini kwao nayo ni bure lkn watakuchota pesa.Makadirio ya ushuru kwenye toguti ni tofauti na utakayopewa ufikapo bandarin hutaamin macho yako...Kweli iyo ipo kuweka sura za watu.
Mara mbili bado haifiki pia, huwezi kukadiria pesa. Makusanyo siyanaendana na shughuli za uzalishaji mali katika eneo husika,Mfano hapa Tanzania kuna wafugaji wenye Ng'ombe kwa maelfu hao wakipata soko wanalipia kodi wapi?kwa siku moja zinauzwa Ng'ombe, mbuzi kondoo ngap ambazo hazilipiwi kodi?Bado serikali inamtambua mfugaji kama choka mbaya wakati huingiza fedha nyingi sana kuliko watu wengi wa kawaida. Kwann basi wasitengeneze utaratibu wa kukusanya walau 5% kwa kila Ng'ombe atakaeuzwa, Pesa zipo nyingi zinazunguka hazisomeki kwenye mfumo.
TRA imejaa wapigaji wengi, nakumbuka kuna video ambayo Magufuli aliita kikao na wana biashara, wakamfungukia ukweli wote namna huwa wanababaishwa, mtu una biashara yenye mtaji wa Tshs 10,000,000 unapotaka ulipe kodi jamaa wanapiga mahesabu wanakuambia una deni la TRA la Tshs 200,000,000
Unaambiwa ufanye maamuzi, uwape kitita fulani wakurekebishie au ukapambane mbele huko, haya yote aliambiwa rais wenu sijui kama kuna lolote la maana mlilifanya au ile ilikua show tu, tatizo mnapenda maonyesho maonyesho ya kisiasa halafu utendaji zero.
Pia Watanzania hamna desturi ya kupenda kulipa kodi, nilishangaa sana nikiwa Bongo kuona hamna mtu huhangaika kuagiza risiti ya EFD. Sasa hapo mnataka mshindane na sisi kiuchumi, pengo baina yetu litazidi kuongezeka mpaka basi.
Hili ndio tatizo tulilonalo, badala ya mtu kuweka uzi kwa kutumia data za kweli na kutumia maneno ya kuwatia wachangiaji hamasa ili wachangie, wao wanaanza kujenga chuki.We mbwa umetoa wapi hiyo? 14T?
Unabwabwaja tu na fake data zako, KRA na TRA hazina tofauti kubwa ya kutisha kwenye ukusanyaji mapato, KRA haijatupita hata mara 1,achilia mbali mara 3!
View attachment 1572013
Tumekubaliana tupunguze mivutano isiyokuwa kuwa na tija. Lengo ni kuonyesha ni maeneo gani nchi ipi inafanya vizuri ili nchi nyengine ijifinze kutoka nchi nyingine.
Katika huu uzi na ule unaohusu bandari ya Dar na Mombasa, watu wamejaribu kuchangia bila ushabiki wa kujisifu au kujaribu kushusha nchi nyingine.
Jambo la kushangaza, wewe umeanza kujisifu na kutoa kashfa kwa Tanzania, jaribu kuwa na busara kidogo. Ukweli ni kwamba, niliomba tupunguze malumbano baada ya kuona wakenya mumezidiwa katika mijadala mbalimbali, jana yote wakenya mlipotea kabisa.
Punguza chuki na wivu, kila nchi ina mapungufu yake na mazuri yake, lengo ni kujifunza na kubadilishana uzoefu, sasa wewe unataka kuendeleza malumbano ambayo tayari Kenya mlishaanza kuzidiwa, jaribu kubadilika mkuu.
We mbwa umetoa wapi hiyo? 14T?
Unabwabwaja tu na fake data zako, KRA na TRA hazina tofauti kubwa ya kutisha kwenye ukusanyaji mapato, KRA haijatupita hata mara 1,achilia mbali mara 3!
View attachment 1572013
Tafadhali hili sio lengo la huu mjadala, lengo ni kuonyesha mapungufu ili watu wajifunze, wacha kutoa conclusions ambazo huna uhakika nazo, hadi sasa tumezungumzia maeneo mawili tu, ya bandari za Mombasa vs Dar.na TRA vs KRA, subiri kuna maeneo mengi yanakuja, sijui kama hutofuta hii kauli yako.Watanzania tuko nyuma kwa mambo mengi, kitu tunachokijua ni mdomo tu.
Maneno mengi na ujuaji mwingi
Hili ndio tatizo tulilonalo, badala ya mtu kuweka uzi kwa kutumia data za kweli na kutumia maneno ya kuwatia wachangiaji hamasa ili wachangie, wao wanaanza kujenga chuki.
Tafadhalini sana wenzetu toka Kenya, punguzeni tabia ya kupenda kujikweza haiwasaidii badala yake inawatengenezea maadui zaidi. Ingefaa kusema KRA inakusanya kodi nyingi kulikoeTRA, ingetosha, au kama ulitaka kuonyesha ni kiwango gani, basi ungekusanya taarifa za kweli ambazo ni up to date kuliko kuweka taarifa za zamani.
Taasisi za Tanzania zimeachana na weledi wa kitaaluma na kucheza midundo ya wanasiasa, TRA ikiwemo. Bila kutoa rushwa mlipa kodi Tanzania utatumia na kuiacha biashara. Hawana ubunifu wa kuwaza vyanzo vipya vya mapato. Kila mwaka ni kuwaongezea Kodi wafanya biashara walewale. Kwa logic ipi TRA wamediriki kuwaongezea wafanya biashara Kodi mwaka huu wenye janga la mvua ya muda mrefu na corona? Wakapimwe akili.
Tunakuomba sana, punguza hii tabia yako, mbona wenzako wanachangia vizuri bila kushambulia wengine?Hata hiyo yako mara mbili bado ni aibu.