KRA vs TRA: Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania

Unless you are stupid, this is person income tax, the same PAYE, what we talk is indirect tax, go and try to understand them.

On other hand I can forgive you because of your low IQ due to hunger. South Africa is Exception from the rest of other subsahara Africa, from now on when we talk Subsahara African countries, excluded South Africa.
Who excluded South Africa? Magufuli or you?
 
Tatizo kubwa ni kodi kubwa,,mfanyabiashara akishindwa kulipa anafunga biashara,,sasa biashara zikifungwa nani atalipa kodi,si watabaki akina mo tu?,
Mtu mfano unaagiza kiatu china kwa shs 5000,
Kikifika kodi ulipe mfano 40,000,
Sasa hapo nani atafanya biashara be kichaa,
Wape watu kodi inayolipika,watu watalipa kodi kwa furaha bila kukwepa ama kuacha biashara
 
KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania)

KRA: Kenya Revenue Authority

TRA: Tanzania Revenue Authority

Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020)

KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh)

TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh)

Sababu ni hizi hapa.
  • Matumizi duni ya teknologia (ICT) kwa TRA
  • Kodi kubwa kwa walipa kodi TRA
  • Kazi nyingi kufanyika kwa mikono (manual processing)- TRA
  • Walipa kodi kukosa elimu ya walipa kodi: TRA
  • Kukosa ubunifu katika kuongeza walipa kodi (Tax base) : TRA
  • Kukosa uwazi kwenye viwango vya kodi kwa walipa kodi - TRA
Matumizi ya teknologia

Mfano mdogo ni ukilinganisha tovuti ya TRA vs KRA.

Tovuti ya TRA ipo duni sana na siyo tovuti ya karne hii bado ni zile tovuti static ambazo taarifa zake hazibadiliki na hazina umuhimu kwa walengwa .

Mfano.

Home page ya TRA vs Home page ya KRA.

Main menu TRA.


Ukifungua tovuti ya TRA kwanza ubnakutana na mambo yafuatayo
View attachment 1571980

Ukweli ni kwamba menu yote ambayo ndiyo memyu kuu haina umuhimu wowote kwa mlipa kodi , hata wanao isimamia hii tovuti sijui wana elimu gani.

Main menu KRA
Ukifungua tovuti ya KRA unakutana na menu ifuatayo
View attachment 1571981
Hii umekaa kihusika kabisa kwa mlipa kodi wa aina zote , ukifungua hapa individual unakutana na taarfiza zote na kodi kwa watu binafsi, ukifungua business unakutana na taariza zote za kodi kwa makampuni na taasisi, na investors unakutana na taarifa zote za kodi zinazo husu wawekezaji.

Home page TRA vs KRA

Home page ya TRA
.
Utakutana picha zinazo za wanasiasa, ndege za ATCL, picha ya commissioner general ,picha za barabara etc, hivi vyote havina umuhimu wowote na wala havimusaidii mlipa kodi . Ni mambo ya kizamani sana .. nadhani mkuu wa ICT TRA atakua na miaka zaidi ya 50. Picha ya CG inahusika na nini na walipa kodi.. tovuti imejaa taarifa ambazo hazina mashiko.
View attachment 1571983

Home page ya KRA
Unakutana na maelezo ya jinsi ya kutafuta huduma yoyote ya kodi na kuna sehemu una chagua taarfia na huduma unayo itaka (very friendly )
View attachment 1571984
Hii ni mifano tuu jinsi TRA ilivyo nyuma katika matumizi ya teknologia katika kurahisisha ukusanyaji wa kodi. Tovuti hii ya KRA inafanya kazi za watu zaidi ya 5000, na uhakika KRA itakua na wafanyakazi wachache kuliko TRA pamoja na kwamba inakusanya kodi mara 3 ya TRA.
View attachment 1571985
Kwa ujumla tovuti ya TRA na KRA zina tofauti zifutazo.
  • KRA ina maelezo karibia yote ya aina za kodi na jinsi ya kulipa Pamoja na maelezo mengine ya kumsaidia mlipa kodi mkubwa na mdogo wakati tovuti ya TRA , taarifa ni chache san ana hazija pangwa kiutaratibu kiasi kwamba tovuti haina msaada .
  • KRA kodi karibia zote unalipa kwa kutumia mitandao au una faili kwa kutumia teknologia na ii unapunguza sana rushwa na kubambikiwa kodi sizizo na maana. Mfano Capital Gain tax ambayo Tanzania Tax pengine inayo ongoza kwa rushwa, Kenya una faili online na baada ya muda unapewa risiti online ya kulipia .
  • KRA imejengwa vizuri na ina taarifa ambazo zinamsadia mlipa kodi, zimehuishwa , tofauti na tovuti ya TRA ambayo imejaza taarifa ambazo hazina maana mfano: number of vistors inamsadia nini mlipa kodi, au link za taasisi za kodi ambazo hazipo Tanzania, utadhani hawana kitu cha kuweka kwenye tovuti sasa wanaamua kukusanya chochote na kujaza huko.
Kwa leo niishie hapa, nitamalizia next week.

Naamini department ya TRA mtabadirika, au tafuteni namna mkajifunze kwa wenzenu wa KRA.

Tanzania bado inanafasi ya kufikia walau nusu ya makusanyo ya kenya kama itazingatia matumizi ya tehama na kuaachana na matumizi ya binadamu kwa sehemu kubwa, lakini kwa utaratibu huu wa sasa kenya muda si mrefu itakusanya mara 4 ta Kenya.
leo nimeenda kufile document yangu TRA wananmbia kila kitu sasa ni kufaili online !!!!!!!! nimeshangaa wakati jana yake nimefail manual na hawakusema hiyo habari ya online filling
 
Sasa kama huamini tovuti una taka kuamini kitu gani.. tatizo lako ni uelewa mdogo.
Wewe ndiye unahoja za form 4.
1. Hivi unaona tovuti ndio chombo cha kukusanya kodi?
2. Sina mda kuorodhesha kodi za kiajabu ajabu za Kenya na maradufu za Tanzania,
Nitakufahamisha tu kwamba Kenya ni 3 kutozwa kodi Africa
3.Unaagalia pande Moja kama kuku kipofu, Hizo kodi Kenya inakusanya hakuna hata mradi mmoja wa pesa za ndani
4.Unatarajia Capital Gains tax iweje na wanao miliki Hisa 80% NSE ni Mzungu?

Pole sana dogo ulidhani unashusha nodo hapa kumbe zero. Nimekwambia uje na hio Noah yako Nairobi uone kama kwa mishahara yenu kiduchu unaweza jaza mafuta. Hata ingekuwa Noah inatumia maji hauwezi jaza kwa kodi zinazotozwa
Halafu mnashangaa kwanini 60% wakaazi nairobi wanaishi kama wanyama jalalani
 
Tatizo uelewa mdogo.
Sidhani hata kama anajua kwamba wakenya ndio raia wanaotozwa kodi nyingi zaidi kusini mwa jangwa la sahara, yeye anekazania kudi mbili tu, kila akiandika ni Capital gain Tax na VAT, hivi kama unapunguza kodi kwa matajiri lakini unalimbikiza lundo la kodi kwenye Fuel na vyakula hiyo ni akili au matope?.
 
Mkuu.. hawa watu ujinga unawasumbua.. hawana data zozote kazi yao kuja kuleta ushabiki usio maana kwenye issue serious.
When will you stop having low IQ? The most taxed country in Africa is South Africa.
 
Hapo anatafuta rushwa ya buku
Tatizo kubwa ni kodi kubwa,,mfanyabiashara akishindwa kulipa anafunga biashara,,sasa biashara zikifungwa nani atalipa kodi,si watabaki akina mo tu?,
Mtu mfano unaagiza kiatu china kwa shs 5000,
Kikifika kodi ulipe mfano 40,000,
Sasa hapo nani atafanya biashara be kichaa,
Wape watu kodi inayolipika,watu watalipa kodi kwa furaha bila kukwepa ama kuacha biashara
 
TRA bwana kila mtu anafanya kazi as if kesho ana fukuzwa..

Kupata taarifa zao inakua ngumu sana unadhani ni nyara za serikali
leo nimeenda kufile document yangu TRA wananmbia kila kitu sasa ni kufaili online !!!!!!!! nimeshangaa wakati jana yake nimefail manual na hawakusema hiyo habari ya online filling
 
Pengine hujui maana ya neno mjinga, binadamu wote duniani ni wajinga katika mambo fulani km hulijui hilo basi wewe utakuwa ni mpumbavu.
Hapo unanipa sifa zako coz Ukiona mtu anaelimishwa alaf anasema "Hainisaidii chochote hata nisipoijua" huyo ni a special kind of stupid, loosely translated kama mpumbavu. Ndo maana umefuta hiyo comment yako. We mwenyewe ulistaajabishwa na upumbavu uliokujaa.
 
Tatizo kubwa ni kodi kubwa,,mfanyabiashara akishindwa kulipa anafunga biashara,,sasa biashara zikifungwa nani atalipa kodi,si watabaki akina mo tu?,
Mtu mfano unaagiza kiatu china kwa shs 5000,
Kikifika kodi ulipe mfano 40,000,
Sasa hapo nani atafanya biashara be kichaa,
Wape watu kodi inayolipika,watu watalipa kodi kwa furaha bila kukwepa ama kuacha biashara

Duh!
 
Back
Top Bottom