KQ sasa inapiga Route za daladala - wanasema hazina pesa za kukidhi mishahara na madeni

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,310
7,464
Wakenya hapa walisema eti kununua ndege cash kama ATCL ni maamuzi mabaya. Sasa wanalia nini na mlikejeli ATCL kuanzisha biashara na routi za ndani? Mjifunze.

=======

KQ applies for State bailout to avoid collapse

Kenya Airways has sought a multi-billion shilling government bailout after the grounding of its aircraft due to the ban on international flights sparked by the coronavirus pandemic.

The airline stopped international flights after a State order on March 22 to cancel all cross-border passenger flights. The order effectively cut off Kenya Airways’ flow of new revenues at a time when it had no cash reserves.

Without State aid, the airline risks running out of money in the near future against the background of banks’ uneasiness in lending to Africa carriers.

Kenya Airways Chief Executive Officer Allan Kilavuka Monday said that the carrier had sent an emergency notice for additional funds to both the Treasury and the Ministry of Transport.

The airline said it needs money for maintenance of grounded planes, payment of staff salaries and settlement of utility bills like security, water and electricity.

“We have requested the government for financial support through a bailout as at the moment we are cash strapped by the fact that we are no longer in operation, except for a few local flights,” said Mr Kilavuka in an exclusive interview with the Business Daily.

Mr Kilavuka declined to reveal the amount the carrier is seeking from the Treasury, but added that it had also sought for other incentives like tax breaks and waiver of navigation and landing fees at airports.

Domestic flights contributed only eight percent of the airline’s sales in 2018, bringing in Sh9 billion out of Sh114 billion that the listed firm recorded as revenue. This means that KQ on average generates about Sh300 million daily from international flights.

“Aircraft engines have to be maintained often and it is important that we get funds for this,” Mr Kilavuka said.
According to him, the national carrier requires the State aid “as soon as possible”. However, he did not disclose whether Kenya Airways is seeking a grant, a loan or a combination of both.

Bloomberg news last week listed KQ as one of the airlines that risks running into bankruptcy unless it gets immediate government intervention within the next two months.

The grounding of international flights is a signal that the national carrier will take a big revenue hit this year. As part of mitigation measures, KQ’s top executives as well as some employees took a pay cut of up to 75 per cent of their gross salary following the grounding of international flights.

KQ’s fresh request for a government bailout comes weeks after it received a Sh5 billion loan from the Treasury, a move that increased the national carrier’s indebtedness to the government — its top shareholder. The government owns 48.9 per cent of KQ shares. In 2017, the State converted Sh16.8 billion worth of loans it had provided to the company into shares as part of the airline’s debt restructuring.

The government also holds another Sh7.7 billion worth of convertible debt. KQ has warned current and prospective investors that its proposed corporate restructuring, including nationalisation, could hurt the value of their holdings. Among other terms, shareholders will be waiting to know the price the government will be offering to buy them out.

Despite dropping to the current levels of Sh1.40 a share, KQ’s share price represents a major premium given that its liabilities exceed its assets. The firm reported a net loss of Sh8.5 billion in the half year ended June 2019, more than double the net loss of Sh4 billion the year before as costs rose faster than revenue.

The loss saw the company’s negative equity widen to Sh16.1 billion from Sh2.4 billion, underlining the airline’s capital crisis. Turnover in the review period rose to Sh58.5 billion from Sh52.1 billion, representing a 12.2 per cent increase.

KQ’s problems have been linked to a mix of increased competition, corruption, mismanagement and a previous debt binge that continues to weigh heavily on its balance sheet.
 
Yaani leo mmepata ubavu wa kuizungumzia KQ, kisa Corona na athari zake kibiashara? Mmesahau yule mkulima mmoja tu anavoihemesha ATCL(Any Time Cancellation Limited)? Mmenikumbusha mlivoandamana na mabango yenu yaliyoandikwa kwa kiingereza chenu ndomboloo, mkitegemea majaji kule S.Africa wataelewa kilio chenu.
 
Wakenya hapa walisema eti kununua ndege cash kama ATCL ni maamuzi mabaya. Sasa wanalia nini na mlikejeli ATCL kuanzisha biashara na routi za ndani? Mjifunze

Village economics.
Deni liwe la ATCL ama la serikali, bado ni deni litalipwa.

Your government borrowed billions to buy ATCL planes. It is still debt that will have to be paid, whether it was advertised as such or just announced as normal government borrowing.

Also, I'm sure KQ weekly revenue is higher than ATCL annual revenue. What you have is a small fleet equivalent to some Safari companies based out of Wilson airport.

Meanwhile, here are US airlines requesting for a government bailout bigger than your entire GDP.
$50 billion airline bailout won't be enough to save US industry

The fact that ATCL does not need any bailout means it was not making any money to begin with. They are just trophy planes for Makufuli, and the chicken will eventually come to roost.
 
Yaani leo mmepata ubavu wa kuizungumzia KQ, kisa Corona na athari zake kibiashara? Mmesahau yule mkulima mmoja tu anavoihemesha ATCL(Any Time Cancellation Limited)? Mmenikumbusha mlivoandamana na mabango yenu yalioandikwa kwa kiingereza chenu domboloo, mkitegemea majaji kule S.Africa wataelewa kilio chenu.
Mkulima kuidai Tanzania hakuna uhusiano wowote na shirika la ndege kufanya biashara kwa hasara, kinachokataliwa ni KQ kila mwaka kuchukua pesa za walupakodi na kuzitumia wakati halitengenezi faida yoyote, kama haliwezi kujiendesha bila pesa ya serikali, kwanini msilifute hiyo pesa mkanunua dawa za Hosputal ili wakenya waliopo mpakani wasivuke mpaka kuja kutafuta huduma za afya Tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KQ = Hasara
ATCL = Hasara + Mkulima
😂😂😂
 
KQ = Hasara
ATCL = Hasara + Mkulima
ATCL haijawahi kuomba pesa toka serikalini hata mara moja tangu ilipopokea ndege zake, inauwezo wa kujiendesha yenyewe, hata katika kipindi hiki kigumu, bado unaweza kulipia gharama zake za uendesha.

KQ kila mwaka lazima linaomba pesa toka serikalini ili kuweza kuendesha shughuli zake, sasa kama haliwezi kujiendesha lenyewe kwanini mslifute, biashara gani inayolitia Taifa hasara kila mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkulima kuidai Tanzania hakuna uhusiano wowote na shirika la ndege kufanya biashara kwa hasara, kinachokataliwa ni KQ kila mwaka kuchukua pesa za walupakodi na kuzitumia wakati halitengenezi faida yoyote, kama haliwezi kujiendesha bila pesa ya serikali, kwanini msilifute hiyo pesa mkanunua dawa za Hosputal ili wakenya waliopo mpakani wasivuke mpaka kuja kutafuta huduma za afya Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha zako wewe, yaani huoni uhusiano wa ndege kukamatwa kwasababu ya madeni na hasara kibiashara? Hata baada ya wewe kukata kiuno hadi kikateguka wakati wa mapokezi ya bombadia? Wiki tatu hazijaisha tangu nuksi nyingine iwaandame, kama kawa. Baada ya mahakama ya UK kuamuru Any Time Cancellation Limited(ATCL) ilipe kampuni ya Liberia 69 billion shs! ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
 
Kwani ndege ilikamatwa kutokana na ATCL kusindwa kulipa deni?, ATCL sio mzigo kwa serikali kwasababu haiombi pesa kila mwaka ili kujiendesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa, ATCL mpaka hili zuio la Corona linaanza, ilikua inategemea faida zaidi kutokana na "Domestic routes" kuliko routes za nje, bado routes za ndani zinaendelea, zimeathirika kidogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Faida??? 😂 😂 😂 😂 Can you share with us ATCL's profit and loss reports? ama zao pia zinasomwa chini ya meza kama ilivyo kawaida bongo?
 
Acha zako wewe, yaani huoni uhusiano wa ndege kukamatwa kwasababu ya madeni na hasara kibiashara? Hata baada ya wewe kukata kiuno hadi kikateguka wakati wa mapokezi ya bombadia? Wiki tatu hazijaisha tangu nuksi nyingine iwaandame, kama kawa. Baada ya mahakama ya UK kuamuru Any Time Cancellation Limited(ATCL) ilipe kampuni ya Liberia 69 billion shs! ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
😂 😂 😂 😂 😂 Kumbe hawa ndio wakata viuno? I hope alipona though
 
Kwani ndege ilikamatwa kutokana na ATCL kusindwa kulipa deni?, ATCL sio mzigo kwa serikali kwasababu haiombi pesa kila mwaka ili kujiendesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliyesema kwamba deni lilikuwa la ATCL. Ila hizo hela shs 69 billion ni ATCL ndio wameamrishwa na mahakama walipe. Hawana uwezo wa kulipa hela hizo, na hakuna ATCL bila GoT. Ndio maana ndege lilipokamatwa mawakili wenu walidai kwamba shughuli za rais zilisimama kwa muda eti kwasababu humo ndani kulikuwa na documents zake za siri.
 
Wacha kuchanganya mafaili, weka kumbukumbu zako vizuri. Ndege zilizuiliwa na mtu binafsi anayeidai serikali ya Tanzania deni lake la miaka mingi baada ya kushinda mahakamani, hilo deni linahusisha mashamba toka miaka ya 80s, halina uhusiano wowote na ATCL.

Hili la juzi ndio lenye uhusiano na ATCL, lakini hakuna ndege yoyote iliyokamatwa kutokana na ukweli kwamba, kipindi cha kukata rufaa hakijakwisha, na serikali imeshasema itakata rufaa.

Hadi sasa hivi ATCL inafanya biashara bila kutegemea ruzuku toka serikalini, hatutegemei ruzuku ya serikali kama ilivyo KQ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha zako wewe, yaani huoni uhusiano wa ndege kukamatwa kwasababu ya madeni na hasara kibiashara? Hata baada ya wewe kukata kiuno hadi kikateguka wakati wa mapokezi ya bombadia? Wiki tatu hazijaisha tangu nuksi nyingine iwaandame, kama kawa. Baada ya mahakama ya UK kuamuru Any Time Cancellation Limited(ATCL) ilipe kampuni ya Liberia 69 billion shs! ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million
 
ATCL haijawahi kuomba pesa toka serikalini hata mara moja tangu ilipopokea ndege zake, inauwezo wa kujiendesha yenyewe, hata katika kipindi hiki kigumu, bado unaweza kulipia gharama zake za uendesha.

KQ kila mwaka lazima linaomba pesa toka serikalini ili kuweza kuendesha shughuli zake, sasa kama haliwezi kujiendesha lenyewe kwanini mslifute, biashara gani inayolitia Taifa hasara kila mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app

ATCL = Serikali

Which means,

Deni la serikali = Deni la ATCL

ATCL haihitaji kuomba pesa, kwa sababu serikali automatically inaipa pesa.

Nitangoja hapa utueleze ile siku ATCL itanunua ndege kwa pesa zake.
 
ATCL = Serikali

Which means,

Deni la serikali = Deni la ATCL

ATCL haihitaji kuomba pesa, kwa sababu serikali automatically inaipa pesa.

Nitangoja hapa utueleze ile siku ATCL itanunua ndege kwa pesa zake.
Japokuwa coronavirus imeathiri biashara ATCL hapa ilipo inaendeleza operations kwenda routes zaidi ya kumi ndani ya Tanzania! ndo maana nikafungua link hii kuonyesha Tanzania si level ya Kunyaland when it comes to superior infrastructure!

EUGSDlqXYAMDb64

Note: Iringa, Mtwara, Tanga n Musoma construction of new runway is underway!

PW-Routes-.jpg

DPIsH3CW0AAnlqW

Airports: Kenya vs Tanzania - JamiiForums

VS

IMG_3222.JPG

DclPvFOX4AEooXQ
 
Back
Top Bottom