Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,212
- 6,972
Kwenye hio ripoti inasemekana nchi ambazo ziko industrialized kwa sasa karibia zote zilianza na viwanda vya pamba kutengeneza material za kutengeneza nguo, kwahivyo kama tuna akili basi tuchukulia biashara ya pamba na viwanda vyake kama kitumuhimu sana.
Alafu pia hapo kwa video inaonyesha vile KQ inabeba wastani ya kama 5 tonnes za mizigo kwenda US kwa kila safari, naona hivi karibuni itabidi waongeze ndege ya cargo pekee kwenda marekani