Kozi ya optometry inahusu nini?

Gee96

Member
Oct 5, 2017
9
2
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu wa iyo kozi tajwa apo juu .Inahusu nn na kwa upande wa ajira pia
 
Ni kozi inayohusu kuwa daktari wa macho, ipo pouwa lakini bachelor yake inatolewa KCMC peke yake, na KCMC wamepigwa BAN sasa wwwe unataka ukaaome wapi? Au upo nje ya nchi?
 
apo apo KCMC kwa level ya Diploma... Ila kwa mtazamo wako Kat ya optometry na Clinical medicine ipi ni nzuri
 
Zote ni nzuri,
Acha kutetemeka jiamini mkuu,
Bila shaka wewe ni first year, maana mawazo kama haya ni ya kifirst year tena semister ya kwanza mwanzoni
 
Back
Top Bottom