Kozi nzuri ya computer

Doctor Stranger

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
4,202
6,143
habari..
Wadau kuna dogo amemaliza form 4 anadai anataka kusomea kompyuta.je ni kozi gani nzuri(inayoenda na upepo wa ajira kwa sasa)
asanteni..
 
ICT inamtosha mana inaonekana ametaget ajira sanaaa. Ila akumbuke kusoma na kuajiriwa ni, vitu viwili tofauti
 
Ajifunze
Microsoft word, excel, publisher

Photoshop

Akae au muweke kwa mtu anaetumia sana computer aongeze utundu

Then mfungulie stationary.

Tuanze na hatua hiyo kwanza
 
Back
Top Bottom