kozi kati ya bachelor of sciencie in civil engineerng UDSm au bachelor of science in elecronic and telecom DIT

ahoy

Member
Mar 31, 2020
12
8
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
 
Mwambie achague ya pili
 
Mwambie asome Civil engeneering... hiyo ya pili ipo kundi moja na kozi nyingi za mawasiliano ambazo ajira zake ni changamoto na competition ni kubwa mfano IT,ICT,Computer Science,Computer engeneering,software engeneering,Telecomunication engeneering n.k zote zipo category moja katika uombaji wa kazi!
 
shukran sana, suala la kuji ajiri au kuajiriwa ni muhimu sana hivyo nitamshauri kama ulivyo pendekeza
 
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
MWAMBIE AACHE UJINGA-
AKASOME CIVIL ENGINEERING KICHUGUUNI!!!
 
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
Tele sio ishu sikuhizi
Piga UJENZI kijana

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
Kati ya hizo yeye anapenda ipi?
 
Tuseme tu kwa vijana wetu ndio changamoto Ila Kama kijana yupo smart kichwani na akajituma na kujiongeza kutafuta ziada kile anachopewa darasani basi electric and telecommunication engineer ingemfaa popote iwe kujiajiri au kuajiriwa kote inalipa
 
Back
Top Bottom