Joh mcCain
Member
- Dec 12, 2014
- 6
- 0
Habarini wana JF
nimechaguliwa NIT automobile ila ninataka kubadili nisome mechanical engineering kwa sababu siijui vizuri automobile naombeni ushauri wenu ipi kati ya hizo mbili ni nzuri na ina future poa kabisa