Kozi gani ya biashara itamfaa mtu aliesoma arts pure o level na hge a level na ipi asijaribu?

Christafari

Senior Member
Jun 2, 2013
117
13
Kozi gani ya biashara itamfaa mtu aliesoma arts pure o level na hge a level na ipi asijaribu?
 
akijaribu accounts au finance wanakula kichwa asome BBA, marketing, Humman REsource, SMall Business, na Bcom tourism
 
Kozi gani ya biashara itamfaa mtu aliesoma arts pure o level na hge a level na ipi asijaribu?

Anapenda aende kozi ya biashara pekee au anahitaji ushauri maana kuna kozi zipo nzuri kwa uoande wake au ndiyo biashara aende kozi ya ujasiliamali ni nzuri sana na imewatowa watu wengi sana kwa sasa na atafanikiwa sana
 
Kwa tanzania hata engineering na medicine anaweza!elimu imekua hovyo sana
 
Ana division 3 ya 15 HGE. . .xo ana E flat. Gs na bam f. Ila O level ana C ya basic mathematics
 
Back
Top Bottom