Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Wewe ukifaa ule kitengo jeshini

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Me ningekuwa wewe ningeanza kutengeneza mabomu ya nyuklia. Halafu nawaambia serikali msipo nilipa pesa ninayotaka naanzisha alishababu ya Tanzania na haya mabomu nitawalipua nayo.
 
Wapo zenji huku wanipiga hela chafu mkuu. Maisha hayana formula. I know a girl who was working as a house keeper in a hotel and then got in a relationship na mzungu, kaolewa official marriage sasa hivi ni boss wa hotel hiyo wacha kabisa
Yeah hao viumbe wanakula maisha zenji wengine hata vyeti vya form 4 hawana ila wana vikazi vyao maisha so fair kabisa yaani.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom