Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

Nimesomea Masters in Atomic Engineering nje ya nchi kule Pakistani.
Binafsi nina ujuzi wa kutengeneza mpaka mabomu ya atomic na nishati ya atomic ila nipo kitaa nimetulia napiga udalali ,kupata kazi labda niende Marekani au Iran.

Nangoja siku Tanzania tutakapoanza tengeneza umeme wa uranium hapo ndio utaona Magufuli au rais ajaye ananipigia sim moja kwa moja nakula kitengo cha mabomu na umeme.

Wenye ujuzi huu kwa Tanzania tupo wawili tu mm na jamaa yangu na wote tupo kitaa hatuna habari .
Acha uzushi tz ipo tume ya atomic kule chuga
 
Vipi je sijaona mkizungumzia kozi za AFYA kama Nursing,medical laboratory, Dentistry au nazo ndo majanga pia au zipo marketable sanaa kiasi cha kutozitaja..

Hebu njooni mtoe mwongozo hukuu..

Uzi mtamu sana huu.. Mje mtufue vijana wenu tunahaha na madigirii vyuoni ikiwezekana tudrop mapema tufanye mishe nyingine..

....😀😀
 
Hakuna kozi mbovu, wabovu ni wanaosoma hizo kozi!
Mtu kasoma miaka 13 (Primary hadi Secondary), halafu inafika wakati anaenda chuo bado anabahatisha cha kusoma!!
Kabla ya kwenda chuo, yafikirie maisha yako baada ya chuo. Jitazame nini unataka kuja kufanya, halafu jitathmini ni nini unachokosa kwa sasa ili kufanya hicho unachotaka kufanya. Ukipata majibu kuwa kuna ujuzi unakosa, sasa tafuta kozi yenye kutoa huo ujuzi. Nakuhakikishia hata darasani utakuwa tofauti. Na kwa vile uko kwenye reli ya kitu unachopenda, hata kipindi cha likizo utatamani kujifunza zaidi (hata kujitolea sehemu zinazoendana na hicho unachotaka). Ukimaliza chuo unaingia kwenye "system" kirahisi kabisa.
 
Medicine doctor. Kozi gumu miaka Sita shule halafu mshahara mdogo kuliko hata aliesoma kozi ya miaka mitatu huku akila bata chuoni.

Sishauri Kabisa mtu asome kozi hii

''Its true few will understand you after six yrs and 3yrs of prayer and hope'' yan MD for TZ mshahara nimdoga sana compare na mda wanao spend school just imagine 6yrs anasoma tena wengi private 6 to 7 milions per year ana maliza anasota mtaani for 2yrs akbaatika kuajiriwa take home aifiki milion ....ukimlinganisha na mtu alie soma koz za miaka 3 mfano education akapata gpa 3.8 na kuunga master yeye akiwa intern mwenzake kashaanza kupiga mapindi kama asst lecture so this 2 people salary yao ni tofauti kabisa so,,,,, Kama unapenda md soma kama ur desire
 
Ipo Tofauti kati ya Biomedical Engineering na Biomedical Equipment Engineering?

Maana DIT wanatoa Diploma ya Biomedical Equipment Engineering na kwa wanaosoma iyo course walimu wao wanaaambia ina fursa nyingi sana kwa ajira yani ni hotcakes kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Biomedical ni Upepo unapita soon, Kwa wanaofatilia trending 2007 watakumbuka upepo wa Computer science na Telecommunications mpaka kufikia Mahali COET ikawa ili uwe enrolled Telecom basi uwe na High Cut off points na Kampuni za Mawasiliano zilikuwa zinaopoa Wanafunzi wa mwaka wa nne chuo na kuwapa kazi kabisa Leo iko wapi telecom? Arusha Technical wenyewe Intake ya kwanza almost wote walipewa offer watachukuliwa ila kwa sasa mfano wa diploma tu wanasota kitaa, Mtu anaetaka kusoma engineering yoyote asome Core courses kama Electrical,Mechanical au Civil, Electrical engineering akienda training anapiga mzigo full wa biomedical na Telecom, Civil same nae anaweza kufanya Highway au irrigation na Mecha nae anaweza kupiga Automotive, Auto electric basi wadogo zangu msiendeshwe na hisia
 
Bachelor of Science in Mathematics.

Hata chuo kilikua na mpango wakuimodoa hii kozi, sijui kama bado ipo kama ilivokua.

Aliyekuja kunikagua field alikua honest, "nakushauri kama kijana mwenye ndoto, ili usipate shida kwenye career yako, lazima field yako uichanganye na either uchumi, takwimu au finance", alinishauri. Hayo alishauri niyafanye kwa masters maana it was too late kwa bachelor.

Asante Dr. ____, ulinipa A ukanitoa kimasomaso ila huku mtaani mi ni bwege tu kama mabwege wengine. Familia duni sikuweza kusoma masters. Sijawahi ona kazi inamtaka Mathematician.

Nimedandia kazi nyingi sana za watu. Nimeshafundisha mpaka shule ya msingi(teh teh).

Mkuu wa department alisemaga one of the most paying job in America is being Mathematician. Sasa nimejiandaa kumpigia kura Hashim Rungwe kama sio Gwajima(Jimboni), nadhani ule mpango wenye umarekani unaweza badilisha maisha yangu.

Nikimaliza CPA naweza nikadandia kazi za wahasibu. Nikikwama hapo basi 2022 nitafungua kanisa. Samahani ninaexplore option zote, sitaki kufa nikiwa fukara.

Af kuna mtu kanambia nikisoma postgraduate education ntaajiriwa kama mwalimu halmashauri, nitalipwa laki saba na kumi na sita (716,000/=)
Take home 467,000/= Mbona nayo maisha tuu..
 
pole broo
 
''Its true few will understand you after six yrs and 3yrs of prayer and hope'' yan MD for TZ mshahara nimdoga sana compare na mda wanao spend school just imagine 6yrs anasoma tena wengi private 6 to 7 milions per year ana maliza anasota mtaani for 2yrs akbaatika kuajiriwa take home aifiki milion ....ukimlinganisha na mtu alie soma koz za miaka 3 mfano education akapata gpa 3.8 na kuunga master yeye akiwa intern mwenzake kashaanza kupiga mapindi kama asst lecture so this 2 people salary yao ni tofauti kabisa so,,,,, Kama unapenda md soma kama ur desire
Mimi naunga mkono hoja.

Kuna mdogo wangu nilimuambia kuwa unataka kuwa daktari kama mimi kaka yako nilivyokuwa nataka,lakini hakikisha ni kitu unachopenda.

Usiingie kwemye kazi yeyote kama hujaipenda,ukiingia kwa kudhani mshahara ni mkubwa sana basi utahangaika huko na kuona sio kazi.
 
Back
Top Bottom