Kozi gani rahisi kusoma pale open university?

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Naombeni msaada wa kujua ni kozi gani ambayo sio ngumu kuisoma ukizingatia mazingira kama ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA?
TAYARI NIMESHA OMBA KUSOMA BACHELOR OF ARTS(PUBLIC RELATIONS AND ADVERTISING)
NAOMBA KATIKA MSAADA WENU UZINGATIE UPATIKANAJI WA:
1.WAALIMU/LECTURERS
2.VITABU
3.VIFAA VYOTE MUHIMU VYA KUWEZESHA KUSOMA,KUELEWA NA KUFANYA KAZI VIZURI IKIWA NI PAMOJA NA KUFAULU KWA KIWANGO KIZURI KUTOKANA NA KUELEWA MAMBO NA SIO KUKARIRI

NASHUKURU KWA MSAADA WENU
 
open university si mambo ya distance learning...

natumai mwanafunzi uwe na juhudi zaidi katika kujisomea kwani walimu wanatoa guiding tuu tena very rare..

ondokana na kasumba ya kucrame weka bongo sawa elewa topics husika, time table ya mitihani na ukaze butiii...

pale sio mambo ya tutorial classes na blah blah....

open studies means no limit to accomodate qualified students for studies...wajisomeaaa hukoooooooooo....then centres kwa ajili ya connection na makao makuu.
 
kwanza inategemea uko wapi rafiki yangu. Kama uko upcountry utakuwa na kazi sana hata kama uchague kozi gani. further more inatakiwa juhudi binafsi na gharama za ziada kujinunulia vitabu, access ya internet nk. Kama uko dar es salaam walimu na libraries zipo ni hela yako ila ukiwategemea open university alone itakula kwako. Mimi ilinitesa sana niliokuwa mikoani.
 
fdc ooooooooohhhhhhhhh i lavuuuuuuuuuuuuu it sssoooooooo muuuuuuucccccccch
 
Watanzania tunapenda virahisi na kudimandi salary kubwa.Kozi uliyochagua sio ngumu sana lakini inategemea uko wapi ndugu yangu.juhudi binafusi mi nafikiri zinaweza kukufikisha sehemu unayo hitaji wewe.kaza buti.
 
Ndugu yangu,
Unapotaka kusoma, lazima uwe na malengo.
Umeshajiuliza unataka kusoma nini na kwa sababu gani? Kama lengo ni kujipatia karatasi tu ili uonekane na wewe ni muhitimu wa chuo kikuu,basi swali ulilouliza ni murua kabisa na wenye kujua hizo kozi rahisi watakuhabarisha.

La kama unataka kusoma uwe mahiri kwenye fani fulani, inabidi ukubali kuteseka usome masomo magumu na uwekeze muda, uvumilivu na kila aina ya nyenzo.Kumbuka - No sweet without sweat.
 
naombeni msaada wa kujua ni kozi gani ambayo sio ngumu kuisoma ukizingatia mazingira kama ya open university of tanzania?
tayari nimesha omba kusoma bachelor of arts(public relations and advertising)
naomba katika msaada wenu uzingatie upatikanaji wa:
1.waalimu/lecturers
2.vitabu
3.vifaa vyote muhimu vya kuwezesha kusoma,kuelewa na kufanya kazi vizuri ikiwa ni pamoja na kufaulu kwa kiwango kizuri kutokana na kuelewa mambo na sio kukariri

nashukuru kwa msaada wenu

mkuu!

1. Kila kitu ni kirahisi provided unakifnya kwa vile unakipenda na sio kwa vile umelazimishwa kwa mazingira ya kiamaisha au kiamri/baba/mama au walezi
2. Pia determination yako ina matter sana.
3. R'member cheap is expensive
 
kwanza inategemea uko wapi rafiki yangu. Kama uko upcountry utakuwa na kazi sana hata kama uchague kozi gani. further more inatakiwa juhudi binafsi na gharama za ziada kujinunulia vitabu, access ya internet nk. Kama uko dar es salaam walimu na libraries zipo ni hela yako ila ukiwategemea open university alone itakula kwako. Mimi ilinitesa sana niliokuwa mikoani.

.,..Mimi nipo MKOA WA ARUSHA WILAYA YA MONDULI
 
Back
Top Bottom