Kozi gani nzuri sana ngazi ya cheti??..Msaada wa Mawazo haraka sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kozi gani nzuri sana ngazi ya cheti??..Msaada wa Mawazo haraka sana.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baba Matatizo, Sep 30, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kozi gani nzuri kwa ngazi ya cheti?nilimaliza form six nikapata div 4 point 19 ya HKL.FORM 4 NILISOMA ARTS PURE NA KUPATA C-5 NA D-3.nimepiga vibarua nimepata hela ya ada hivyo nahitaji kujua kozi gani nzuri ngazi ya cheti.ambayo ina fursa ya ajira moja kwa moja?
   
 2. m

  mwitu JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  soma procurement ndo inamata kwa sasa
   
 3. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,316
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  True, procurement and supplies ni noma ndio iko juu kwa sasa. Lakini hiyo HKL yako itabidi ukaze msuli sana maana kila kitu ni kipya. Lakini kwa ngazi ya cheti nina uhakika utapiga fresh tuu.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,840
  Trophy Points: 280
  kama hujui chakusoma soma procurement
   
 5. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Dah kila mtu Procurement!JE NAYO NI HOT KUANZIA NGAZI YA CHETI?
   
 6. koplo

  koplo JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 596
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Record management sio mbaya pia
   
 7. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Unapendelea nini zaidi?? Ni vizuri pia kusoma na kufanyia kazi kitu unachopendelea. Kozi zipo kibao, ajira zipo za kumwaga pia
   
 8. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Kozi nzuri sana ni ile unayoimudu. Mengine story za vijiweni tu.
   
 9. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Niambieni pia kozi rahisi.NITASOMA MASOMO YA JIONI HUKU NIKIFANYA KAZI ZANGU ASUBUH.MIMI NI FUNDI Radio na Tv.elimu yangu fm 4 na nina credit .(samahani kwa kudandia)
   
 10. Voice of Wisdom

  Voice of Wisdom JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 541
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  watanzania lazima tuwe makini sana hususani ktk swala la elimu. Kabla hujasoma kozi yeyote lazima ujue kwa nini unasoma hyo kozi, nasikia uchungu sana kumsikia mtu aliyehitimu kidato cha sita hajui mustakabali wa maisha yake. Na hii inatokana na kusoma bila kuwa na vision. Si swala la kumkebehe mleta mada ila ni kumweleza ukweli kama hadi memaliza kdato cha sita hajui asome nini mustakabali wa maisha yake sio mzuri. Hapa utapata maoni mengi na unaweza ukafanyia kazi bila hata kujua ni nini ya unachokisoma, na ukipata ugumu mbele utashindwa kuendelea kwani ulichukua mawazo ya watu ukayafanyia maamuzi. Haiwezekani wewe hadi umri wako wa kuhtm kidato cha 6 hujui unataka kuwa nani! Kujua unachotaka ndio mwanzo wa kukipata na huwezi kukipata kama hujui ni kwa nini ni lazima ukipate. Hakuna kozi yeyote ya chuo kikuu haina certificate yake. Najaribu kufikiria kama uliyosema una maanisha. Maisha yako lazima uchague mwenyewe,vinginevyo!
  Mtazamo wangu ni kwamba lazima ufanye kile kinachotoka ndani yako na una mapenzi ya dhati nacho.. Usije jaribu kusoma kwa sababu tu umeona watu waliosoma hyo fani wamefanikiwa.
  Kaa chini fikiria juu ya ndoto zako kisha tafuta kozi zinazofanana na ndoto zako.
  Kozi unayosoma lazima iwe kwenye ndto zako ili uweze kufanikiwa kimaisha na si vinginevyo. Ukisoma kozi iliyoko kwenye ndoto zako utafanikiwa hata kama wengine waliosoma hyo kozi hawafanikiwi.
  Na niseme kwa uchungu kuwa vijana wengi wa kitanzania wamesoma kozi ambazo hazipo kwenye ndoto zao, na hii ni sababu mojawapo yao kuwa katika hali walizo nazo. Na hii imetokana na
  1. Serikali kutoa ufadhilikwa vgezo ambavyo vitamlazimisha anayefadhiliwa kusoma kitu ambacho si ndoto zake.
  2. Wazazi kuwalazimisha watoto wao wasome kozi wanazotaka wao wazazi.
  Nimeandika pengine maneno magumu au ya ukali, ila ni kwa sababu mimi kama kijana sipendi tuwe na elimu lakini hiyo elimu isitusaidie katika kujikwamua kimaisha.
   
 11. C

  Complex number JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mh! Lakini ukweli huwa unauma jamani.
   
 12. C

  Complex number JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Zingatia ushauri wa voice of wisdom
   
 13. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  hiyo procurement ambayo unaambiwa na wadau hapo juu inaweza ikawa hot kwa sasa lakini mpaka na wewe uje kuhitimu inaweza kuwa sio hot tena..

  My take:
  kaa chini fungua kichwa chako angalia miaka ijayo usome kitu gani na kwa manufaa gani, sanasana angalia ipi utakupa fursa ya wewe kujiajiri.
   
 14. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani eleweni mada kabla ya kujibu angalieni kwenye red dogo anataka kujua kwa level ya chet tu couse ambayo itampa fursa ya moja kwa moja kupata ajira sasa akisoma procurement ngazi ya chet ataajiriwa na nani na kama nani? Dogo soma account kwa level ya chet unaweza kuwa cashier anagalau maana cashier wengi wanaajiriwa kwa ngazi ya chet
   
 15. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Taifa lisilojali vipaji. Ndo wanakuja kusaini mikataba ya DOWANS siku zijazo! Dogo yuko upande wa electronics, kwa nini asitazame upande huo?
   
 16. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,750
  Likes Received: 1,786
  Trophy Points: 280
  pole sana mdogo wangu....kwanza kwa matokeo maisha ndivyo yalivyoo......ila kozi nzuli za kusoma kwa ngazi ya cheti ni kama zifuatazo........

  1.kuna kozi ya air hostels......hii kozi ni miezi sita na ukipata ajira zake mishaara yao ni kuanzia laki 7 na inategemea umeajiliwa na kampuni gani chuo chao kipo airport terminal one........

  2.kuna kozi ya computer maintance....miezi 7 pale chuo cha d.i.t

  3.kuna flight operator....chuo kipo airport terminal one

  4.customer care and cargo handling inafundishwa na swizzport company training center chuo kipo mtava miezi 5 na ukimaliza unaonganishwa moja moja kwenye ajira ila tatizo ni kwamba chance za kusoma pale mpaka uwe na ndugu anaefanya kazi ndani ya kampuni

  5.banking and finance from i.fm kwa mmoja


  6.graphics and design......from learn it,aptech au ucc ndio wanafundisha vizuli

  7.maintance of electrical equipment ni short kozi ipo pale d.i.t........

  naadhani hizi baadhi ya short kozi ambazo huwa zinaweka watu wengi mjini......

  6.
   
 17. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu Asante kwa Mawazo mazuri.NIPO TABORA HAPA VYUO NI UHAZILI,ARDHI NA TEKU NDIO VIPO safi bila MASHAKA.najisomesha mwenyewe kwa pesa ya vibarua ìvyo siwez soma chuo cha mbali.
   
 18. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu Asante kwa Mawazo Mazuri.Vipi kuhusu Maendeleo ya jamii ni kozi nzuri?
   
 19. spartacus

  spartacus JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  shoot first, aim later............yaani piga risasi kwanza....lenga baadae........

  hehehehe, wabongo kweli patupu.....
   
 20. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Vp Wadau Community development ngazi ya cheti Hailipi?
   
Loading...