Kova, who are you to decide watu wana sababu au hawana sababu ya kuandamana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kova, who are you to decide watu wana sababu au hawana sababu ya kuandamana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amanibaraka, Dec 28, 2010.

 1. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kamanda Kova anasema Cuf "hawana sababu ya kuandamana".
  Hii ni sababau zaidi ya kudai katiba mpya. Kova (Kamanda), anakuwaje na madaraka ya kuamua watu wana sababu au hawana sababu ya kuandamana? au Maandamano ni halali au sio halali? Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kuamua hilo, hata raisi hawezi kuamua hilo katika utawala wa sheria.

  Halafu Kova anasema anajua eti maandamano ya Cuf yalikuwa na lengo la vurugu, Cuf wamesema maandamano ni ya amani? Yeye alijuaje kuwa yalikusudia vurugu? ameoteshwa?
   
Loading...