Kova: Wafuasi wa Ponda wajisalimishe Polisi; watakamatwa, uvumilivu umekwisha

Hawana jipya hawa jamaa, maneno meeeeeengi na nguvu ya kutenda inaishia midomoni tu!!!!
 
This is the temporary solution lakini permanent solution NI KUTOA ELIMU KWA WOTE WAKRISTO NA WAISLAMU kuelewana na kuheshimiana!!
 
Hizo ni nguvu za soda. Kesho utasikia Shekhe Ponda ametoroka mahabusu na hajulikani alikotorokea.

.....na wakiona hali inakuwa mbaya, kitu kizito kinamwangukia au anakutwa msituni "kajinyonga"
 
Kama inavyotawaliwa sasa na kanisa Kutokea St. Joseph.

Kova kamata hiyo mijitu yote. Kama msipofanya hivyo leo kesho baada ya kunogewa kuchoma makanisa wataichoma ikulu. Kisha watatangaza nchi inaongozwa kwa sharia kutokea msikiti wa Mtambaani.
.
 
This is the temporary solution lakini permanent solution NI KUTOA ELIMU KWA WOTE WAKRISTO NA WAISLAMU kuelewana na kuheshimiana!!

kweli kabisa ndugu yangu,tena watambue hakuna dini iliyobora kuliko ya mwingine hivyo ni jukumu lao wote kuheshimu imani za wengine.
 
nachoshukuru maaskofu wameshaweka msimamo wao, wanasubiri serikali dhaifu, kama unavyoona hawajajikomba, na wakristo wanasubiri tu kuanza kazi, wanachoma makanisa wasiyoyajenga, wanaharibu mali wasizochangia, wao wamezoea kujengewa miskiti na Gadafi sasa hayuko kinachofwata ni Jino kwa Jino lazima wakristo wajilinde, oneni yaliyotokea Nigeria walivyoenda kuua wanafunzi kwa kuuliza majina, waliouawa wote ni wakristo, hapa hawatakubali watoto wao wakazikwe kwa kushabinia radio imaan, Ponda na Uamsho, acha yawakumbe waliyaanzisha wenyewe kwa kupanga safu yao na sita shangaa hao wakina Said Mwema, Suleiman Kova, Chande, etc etc wakiwa sehemu ya Genocide kama ile ya Rwanda, ombeni sana mungu tutawashitakia wapi
 
Haya yote yamesababishwa na Julius Kambarage Nyerere kuwanyima elimu waislamu baada ya uhuru.
Pia ni matokeo ya baraza la mitihani (NECTA) kuwahujumu waislamu.

kweli kabisa ndugu yangu,tena watambue hakuna dini iliyobora kuliko ya mwingine hivyo ni jukumu lao wote kuheshimu imani za wengine.

nachoshukuru maaskofu wameshaweka msimamo wao, wanasubiri serikali dhaifu, kama unavyoona hawajajikomba, na wakristo wanasubiri tu kuanza kazi, wanachoma makanisa wasiyoyajenga, wanaharibu mali wasizochangia, wao wamezoea kujengewa miskiti na Gadafi sasa hayuko kinachofwata ni Jino kwa Jino lazima wakristo wajilinde, oneni yaliyotokea Nigeria walivyoenda kuua wanafunzi kwa kuuliza majina, waliouawa wote ni wakristo, hapa hawatakubali watoto wao wakazikwe kwa kushabinia radio imaan, Ponda na Uamsho, acha yawakumbe waliyaanzisha wenyewe kwa kupanga safu yao na sita shangaa hao wakina Said Mwema, Suleiman Kova, Chande, etc etc wakiwa sehemu ya Genocide kama ile ya Rwanda, ombeni sana mungu tutawashitakia wapi
 
Hivi kwa mtizamo wake kova anadhan hao wafuasi watajisalimisha?hapo wako kwenye vikao vizito na majibu ya vikao hivyo atayapata ijumaa.jambo la msingi awaandae vijana wake wakae standby near misikiti maarufu kwani picha halisi ya reaction za hawa watu anayo!
 
Duh kweli utata mtupu. Jamaa watasumbua sn but kova nakuamini fanya kazi uliyotumwa na serikali.
 
Amewataka waliokuwa wafuasi wake waliofanya kazi naye kwa matukio ya kutisha BAKWATA, kuvamia kiwanja yaliyotokea mbagala amesema ni matokeo ya kazi ya taasisi yake. Pia amekamatwa kwa uchochezi Kova amesema uvumilivu kwisha, "Kama tumemkamata ponda kwa mbinu za kijeshi tutashindwa wakina ponda wadogo wajisalimishe msako unaendelea"
Toa maoni ponda kaonewa, Wametatua tatizo au wamezalisha mengine, Nini athari za kukamatwa kwake busara itumike kuziepusha

Ponda ni zao la udhaifu wa mamlaka za dola; Ponda si lolote wala chochote, ni mtu opportunist anayetumia mianya ya udhaifu wa mamlaka na vijana wasio na elimu na mbinu mahsusi za kujikimu kiuchumi kwa hiyo ni rahisi kutumiwa na watu kama Ponda kufanya lolote ili kuganga njaa zao! na hawa ndio rightfully Edward Lowassa na Fred Sumaye wanawaita A time Bomb; they are an easy prey to take adavantage of them.

Kiongozi anapokemea jambo ni lazima Kauli na body language ziwe muarobaini tosha bila kuacha mashaka kama kwamba labda ulikuwa utania, mazoea na mbwa mwisho atakufuata msikitini!!

Enzi za Mwalimu au Ben Mkapa Ponda angefurahi mwenyewe.
 
Wachochezi wa uvamizi kwa wenzao, wanastahili hukumu kwa kuasi mausia ya Mtume Muhamad SAW (( Enyi mlioamini! msiingie nyumba zisizo zenu bila ruhusa, na muwatolee salamu. Hayo ni bora kwenu mpate kukumbuka. Na mtakapomkuta mtu huko msiingie hmpaka mruhusiwe. ...na mkiambiwa rudini basi rudini.na Allah anayajua mnayoyatenda. An-Nuur 27-28
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom