Kova: Tumewanasa viongozi wa 'Mbwamwitu'

hivi vikundi ndo mwanzo wa gangs. Inabidi wavidhibiti mapema. MAana vikishafikia level ya gangs ndo hata polisi hawatawawezaa.
 
Hao panya road wengi wao walikuwa waosha vioo vya magar na camp yao ipo tbl kwa nyuma askali wa msimbazi wanajua
 
Si hapo tu. Bonde la Msimbazi ndio maficho yao makuu. Kuanzia kule Tabata mpaka Salanderbridge. Huko gongo,bangi unga vinauzwa kama ununuavyo chakula kwa mamalishe. Polisi wanayajua maeneo hayo yote.
 
hakuna sehem ambayo uhalifu unafanyika polisi wasijue hakuna,polisi wanawajua wauza gongo,unga,majambaz,vibaka,na wenyewe wezi
 
kova yeye hausiki na kukamata mafisadi.....ila kwa uamuzi aliyowachukulia hao vibaka ni uamuzi mzuri
 
nimemskia wapo radio jana amenichekesha sana,"hatuwez kuwaruhusu hawa mbwa mwitu wakafika level ya panya road tutawasaka hata huko mikoani,jeshi la polisi tanzania nzima huko mikoani mkiona mtu ana sura kama ya dar es salaam mkamateni atakuwa ni mbwamwitu."huo ndo mkwara wa kova jana wapo radio yan nilicheka mpaka baas,
 
Jana RC wa Dar na kamishna kova wametoa msimamo kuwa kuna operesehen kubwa inakuja ya kulifanya dar jiji lenye amani na mahala pa usalama kwa watu kuishi. alisema wameshakomesha kelele za vikundi harama vya panya road, panya roof, mbwa mwitu, watoto wa mbwa nk. hadi sasa zaid ya wahalifu 178 wako ndani. aliomba jamii ishiriki kuwaibua wahalifu wa aina yoyote popote walipo watawachukulia hatua za haraka sana. hongeren walinda amani ya Dar
 
bado hatuna huakika wa kujiamin kama wameisha,ndio maana anataka kuendesha opareshen ya nyumba kwa nyumba
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom