Kova: Tumewanasa viongozi wa 'Mbwamwitu'

Muongo kweli Huyu mshkaji, polisi hawatakiwi kupiga propaganda
 
Polisi ikiamua hilo kundi litasambaratishwa ndani ya wiki moja tuu.

Hawawezi lolote wao wenyewe na watoto wao ndio mbwa mwitu kwani lilipoanza hapakuwa na intelijensia? au iko bize na cdm? watoe majibu kwanza kundi ovu linaibukaje mpaka linakomaa wao wakiwa humohumo mitaani
 
Bora hawa watoto wamenikimbiza juzi wakati natoka job maeneo ya magomeni wanajiita panya road afadhali kabisa
 
Haijalishi mbona wanakamata wahalifu kila siku lakini hatupewi feedback zozote? Yaani hapo wamewakamata ili wapewe rushwa wawaachie.serikali hii iko kifedha zaidi sio kisheria we fuatilia kama utasikia lolote kuhusu hao jamaa
 
Kova.....“Ningependa kuwatoa hofu wananchi kuhusiana na uvumi unaoendelea kwenye mitandao…tunaomba wananchi wawe watulivu waendelee na shughuli zao kama kawaida. Jeshi langu limejipanga vizuri kuwadhibiti hao vijana. Hao vijana hawana uwezo wa kutushinda sisi” alisema Kova

Kamanda huyo aliweka wazi kuwa askari wa kutosha wa doria wameshapangwa maeneo ambayo yametajwa kuwa na mlipuko wa makundi hayo

Uvumi ni upi sasa?
 
Tatizo watoto wenyewe vidogo,mf mbagala maeneo ya kongowe kuna watoti wanajiita wamarekani weusi,ujue ni vitoto afu wazazi wao ndo wanawatetea polisi kuna siku walikuja vamia wakapiga risasi nane hewani,waliwakamata baadhi ila yani hata kuwaweka luck up huruma.Mtoto miaka 13 kashapinda zamani,humwambii lolote!
Polisi ikiamua hilo kundi litasambaratishwa ndani ya wiki moja tuu.
 
Polisi ikiamua hilo kundi litasambaratishwa ndani ya wiki moja tuu.

hakuna kitu kama hicho,si Polisi hawa ambao nao ni vibaka na wez,na upuuz huo unaratibiwa na haohao mabosi wao,rejea kashfa za polisi,
hili kundi halikufanya harakat vichochoron,ni barabaran wamedhuru watu wangap??hadi juz ndo waanze kuwakamata????,polisi ni wez,polisi ni majangili,polisi ni majambaz,polisi ni wauza bange(arusha kesi),i don trust them mdau Ndibalema
 
Last edited by a moderator:
Uvumi ni upi sasa?

si Cover huyu,labda mwingine,huyu anayetafuta wahalifu kupitia media,,,,,,i hate this guy maana hupenda sifa kaz hafanyi,,,matukio mangap yanatokea dsm anajitia haoni,na uchunguz usioisha,,,,
mauaji ya majambaz watumia boksa,wizi wa kwenye mabenk ndo mabos wenzie wanahusishwa (barclays-kino),
yeye hana usafi wowote wa kuondoa uhalifu hapa dsm,polisi ni chafu,sio wa chini hata hao wa juu
 
hao madogo sana,c watu wakuwavalisha cheo hicho,n watoto ambao wanaitajika kunyoshwa ili wawe wanajamii bora,pia tutazame kwanin wadogo zetu wanapnda kias hik cha kuwa makomando yosso,je n ugumu wa maisha ama n bange tu? kinga n bora kuliko tiba serekal inawakinga vp vjana wasikae kae tu kzembe mitaan,alopewa dhamana ya kusimamia vijana wa taifa hil mara ngap ameshaenda mitaan kutazama vijana wanachangamoto gan,serekal inatazama vjana walio mashulen tu,
mda umefka kwa serekal kutafuta watu wataokusanya vjana walio mitaan na kuwaweka katka makund na kuwapa elimu na kuwafungulia viwanda vdogo vdogo mfano useremala,ujenz.
kuwafunga si dawa ya tatizo,waweken ktk vkund itasaidia kupunguza sis kukabwa.Wawezeshen kabla awajafuzu kuwa majambaz kamil.
 
Back
Top Bottom