Kova: Kutekwa kwa Kibanda si tukio la kihalifu!

jeshi la polisi linahitaji urgent reforms, hawajui hata wanazungumza nini wakati ndio kiungo kikuu cha usalama wa wananchi na taifa. lipo kama genge la wahuni, tulikurupuka kuingia katika multi party system tukiwa na vikosi vya polisi vya mfumo potofu pamoja na vyombo vya sheria viliolala..Kova needs to go, kazi imemshinda, hata kauli zake ni za utata. sawa na yule comic ali wa iraq, shame on propaganda machine..
 
Pumbafu kabisa!!!! Kwani waliotaka kumuua Dr Ulimboka walichukua nini toka kwake!? Si walikuwa ni maharamia waliotumwa na Serikali dhalimu!!!!

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?
 
Ameanza uzandiki wake!uchunguzi wa awali una umuhimu gani?

Sisi tunataka taarifa iliyokamilika na isiyokuwa na chembe ya shaka!
 
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Suleimani Kova, amedai kuwa kutekwa na kuumizwa vibaya kwa Mwandishi nguli na Mhariri wa New Habari,Absalom Kibanda, si tukio la kihalifu. Kamanda Kova amedai kuwa tukio hilo limetokana na chuki na kulipiziana visasi.

Hii ni kwasababu waliomteka na kumshambulia Kibanda hawakuchukua kitu chochote toka kwake. Alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kutoa taarifa za uchunguzi wa awali wa jeshi la polisi juu ya tukiohilo lililotokea jana,

Kwahiyo kutekwa na kushambuliwa si uhalifu? Nani anaweza kumwamini Kova aliyewahi 'kuwasha' sinema ya Dr.Ulimboka na anayeshindwa kuizima hadi sasa?

Pengine Kova tungemwelewa zaidi pale ambapo angetupatia maana halisi ya neno "UHALIFU" kwake ni nini hasa? Vinginevyo bora ajinyamazie tu au atujibu kwa yale "majibu ya kimazoea" kama yule juha mwingine wa Zanzibar (Kamanda Musa) kwa kusema kuwa waliomfanya unyama padre Mushi ati "hatuwajui" . Na mwisho wa siku eti mtu aina hiyo naye bado anaitwa Kamanda?!! Arrrriighh!
 
Wajameni! Hivi uhalifu maana yake ni wizi?. Mtu mpaka aibe ndiyo awe amefanya kosa la kihalifu?
 
Na nyinyi watanzania mmezidi bwana mmekua mabingwa wa kulalamika na mabingwa wa kusahau pia.sijui hamjui kama hakuna mwenye hatimlik na nchi.tumechoka kelele na matamko yenu
 
nukuu kutoka kwa rais wa mbeya , kuwa walimteka na kumtesa KIBANDA ni JANJAWEED iliyokuwa inatumika na rais wa sudan mwenye kupinga anyooshe mkono
 
Back
Top Bottom