Kova ka Maandamano marufuku na Mechi simba na Yanga funga Basi

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
kama kova unasema no Maandamano ya Kupinga Dowans reason usalama basi na Mechi isiwepo cz kuna mkusanyiko
 
hapa ni changa la macho.

Wanaharakati watoe tamko haraka

kwamba kama al shabaab tayari wameingia tanzania, mechi ya simba na yanga na mikusanyiko mingine ifutwe.

Je IGP mwema, KOVA wameshindwa kuwalinda watanzania?

Ok, pia watoe alternative ya kuandamana, watu wavae vitambaa vyeusi mkononi
 
Back
Top Bottom