Kova Acha Kujipendekeza, Anza Kumkamata Kamala kwa Kumtukana Dk. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kova Acha Kujipendekeza, Anza Kumkamata Kamala kwa Kumtukana Dk. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Albedo, Oct 28, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wakati Kamala anamtukana Dr. Slaa kwamba ni Mbumbumbu, wakati wagombea Ubunge wa CCM wakimtukana Dr. Slaa juu ya Mahusiano yake akina Kova walikuwa Wanakenua Meno. Sasa Yamemkuta Mku wa Kaya mnaanza kuhangaika. Jana Hadija Kopa amemtuna Dr. Slaa Mkaendeea kukenua Meno huku mkiinua Vodole Juu kuitikia Mipasho ya Hadija Kopa

  Akitunakwa Dr. Slaa poa tu kwa Sababu ametukana Mgombea wa Urais, Akitukanwa Kikwete ametukanwa Rais

  Mkiwa Fair mtaheshimika ila mkiwa Biased hamtaheshimika
   
 2. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Tatizo la CCM hawajui impact ya yale wanayoyafanya, wakija kugundua wamekosea wanakuwa tayari wamechelewa na mambo yameharibika. Kusema ukweli hata kama watu walikuwa hawamfahamu huyo mgombea mbunge ndio sasa wamepta nafasi ya kumfahamu.
   
 3. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  kilichosemwa si matusi, Kikwete kaambiwa hajafunzwa na mama yake, ooh yes atuthibitishie yeye kama amefuzwa na mama yake sio kutumia genge la maaskari kumsemea JK, NARUDIA , MGOMBEA WA CCM HAJAFUNZWA NA MAMAE.
   
 4. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  vote for CHADEMA
  ndio mwisho wa matatizo yote
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :rip:CCM+JK
   
 6. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kwa mtu makini na ambaye hafanyi kazi kwa kuambiwa na anafuata sheria basi siku ile pale Mwembeyanga angekamatwa mgombea ubunge pale pale,lakini kwa kuwa jeshi lapolisi lipo kisiasa zaidi kuliko kiutendaji na kufuata sheria za nchi ndio maana ilibidi wasubiri maelekezo toka kwa viongozi wa CCM na kuyatekeleza.

  Nitafurahi sana kama kesi ikienda mahakamani maana ndio watanzania tutakapojua maana ya maneno ya kiswahili
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Achana nao, bado kidogo watajiunga nasi kuimba nyimbo za ushindi!
   
Loading...