Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,594
- 2,717
Hapo ndio huwa mnaharibu nyie wadada, halafu mnakuwa wa kwanza kulalama, katika hali ya kawaida tu, haiwezekanai umchukilie mume ndunguze halafu akupende, kosa kubwa mnalofanya huwa ni kujaribu kumtenganisha mume na ndugu zake,Kupenda ndugu ndo umlete Mama yako wakati unajua unachumba kimoja.Ndo mshahara umpe wote, mke akihitaji matumizi unamwambia aende achukue kwa Mama yako.
Mdada, ukitaka mume akuelewe vizuri mpendee ndugu zake,
hatakuwa na sababu yeyote ya kukufikiria vibaya, hata kama unataka kumwambia jambo kuhusu ndugu zake, mwambie kwa maarifa mengi, sio unaamua kuchukia ndugu zake ukitegemea atawafukuza ubaki wewe peke yako nyumbani kwake, wanaume wote furaha yao huwa kwa ndugu zake ukianza na mama yake, sasa wewe mdada unatakiwa kuingia pale katikati yao kuimarisha mahusiano yao sio kuyavunja,
huhku kwetu akina mama huwa wanasubiri mume ale kwanza ndio na wao wapate kula, wakitokea wageni wamama hata kama walikuwa wameanza kula, wanaacha kula, chakula kinapelekwa kwa wageni wao wanaanza kupika chakula kingine, wakina mama wa kale walikuwa na uwezo mkubwa wa kuvumila hali hizi amabzo leo wanawake wanaamua kuzileta janvini, yaani unamfungulia mada mume wako !!?,