Kosea vyote, usikosee mume

Coaster2015

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
2,536
2,000
Kupenda ndugu ndo umlete Mama yako wakati unajua unachumba kimoja.Ndo mshahara umpe wote, mke akihitaji matumizi unamwambia aende achukue kwa Mama yako.
Hapo ndio huwa mnaharibu nyie wadada, halafu mnakuwa wa kwanza kulalama, katika hali ya kawaida tu, haiwezekanai umchukilie mume ndunguze halafu akupende, kosa kubwa mnalofanya huwa ni kujaribu kumtenganisha mume na ndugu zake,
Mdada, ukitaka mume akuelewe vizuri mpendee ndugu zake,

hatakuwa na sababu yeyote ya kukufikiria vibaya, hata kama unataka kumwambia jambo kuhusu ndugu zake, mwambie kwa maarifa mengi, sio unaamua kuchukia ndugu zake ukitegemea atawafukuza ubaki wewe peke yako nyumbani kwake, wanaume wote furaha yao huwa kwa ndugu zake ukianza na mama yake, sasa wewe mdada unatakiwa kuingia pale katikati yao kuimarisha mahusiano yao sio kuyavunja,

huhku kwetu akina mama huwa wanasubiri mume ale kwanza ndio na wao wapate kula, wakitokea wageni wamama hata kama walikuwa wameanza kula, wanaacha kula, chakula kinapelekwa kwa wageni wao wanaanza kupika chakula kingine, wakina mama wa kale walikuwa na uwezo mkubwa wa kuvumila hali hizi amabzo leo wanawake wanaamua kuzileta janvini, yaani unamfungulia mada mume wako !!?,
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Yaani kaunganisha mambo mpaka unahisi kweli.
Mkuu kwani unadhani atasemaje hapo? atasema ivoivo!! eti ''ya walimwengu'' yaani huyu mke wangu kisirani sana, hapo kajipanga kunishambulia maksudi tu! na anajua maksudi mie ntajua tu! ananitumia ujumbe kijanja!! halafu avatar yangu hajibu,

Hata yaani huyu! FB, yumo!, w/app yumo!, Instagram!, mawee niseme nini mie! ila mie huko nimekausha, kasoro Quora tu ndo simuoni kurandaranda kule!! yaaani huyu mwanamke ni pasua kichwa sana,

Yaani iko ivi hata nikimwambia haya! ataniruka, kifupi amejipanga kunichafua na kunitumia maujumbe ya kijinga kupitia humu, aliwahi nambia kuwa nina kisirani simsikilizi, Oooh! sijui nina asili ya Mara ndo maana nina kiburi ivi!! dadazake wanamchekea!

Ila basi tu dawa yake naijua, najua kabisa nikimwambia atakana tu futi mia! eti siyo yeye ni majina tu kufanana!! lkn story izi zinaenda sawa,sawa n tunavoishi. wanawake yaani mie sina hamu mie!! na simu yake haiguswi mkali huyo!! kununa sasa Maweee!

Sasa mie nimechukua jukumu la kwanza kumuonyesha dadake anavo ninanga mdogo wake mitandaoni, dadake kaniruka anasema eti ni pressure yangu tu!! yaani wanadharau hawa!!! heee! sometimes anajishahu! ukimuhakikishia ujinga wake anafake km utani ivi!1

yaani nina mengi sana ya kuongea kuhusu huyu Mwanamke, Mkuu unajua chanzo ni nini mpaka tufikie hatua hii? kipindi falni nyuma Mie niliomba ushauri tu uliomuhusu yeye! humu humu JF lkn sikumtaja, ila

niliweka kwa majina X'' kwa jinsi tuvokuwa tunaishi kiharakati nikatoa km hadithi!! km ujuavyo kuna vidada vimbeya km nini! si vikapeleka habari bana!! akainyaka! ndo na yeye ananifanyia ivi kulipizia!

Ajabu sasa yeye kapata wachangiaji wengi ajili yeye ni mwanamke! lkn mie nilipata kiduchuuuu!! tena sidhani km uzi wenyewe bado uko humu! ila hyu Mke wangu bana hapana nahisi kizunguzungu!! kuna siku niliwaza nianze kimya kimya? roho nyingine ikakataa!

Usimuone ivo kuniruka eti mie kujitetea ni ya walimwengu hata Nyumbani ivoivo! ni tabia ya mke wangu! ana kipaji cha kujikausha na jambo likapotea kihivo!!

sasa hapo ndo chanzo cha haya yooote make aliniambia ivi ''tutaona basi mimi na wewe nani mwenye haki!! sasa kuuumbe na yeye ameyaleta humu, akibisha ule uzi wangu ntaufufua hapa hapa!

Lkn sasa wanawake hawana akili anaweza weka humu mpaka picha yangu, mnione weee!! wakunanga waninange, si mtanijua? hicho tu ndo sipendi!! yaani ka-mwanamke kakorofi ni hakn mfano!! haya majina ya kina Jack haya?? jamani pwiiiii!!! Mie tena .......... nimekoma mie!
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Hapo ndio huwa mnaharibu nyie wadada, halafu mnakuwa wa kwanza kulalama, katika hali ya kawaida tu, haiwezekanai umchukilie mume ndunguze halafu akupende, kosa kubwa mnalofanya huwa ni kujaribu kumtenganisha mume na ndugu zake,
Mdada, ukitaka mume akuelewe vizuri mpendee ndugu zake, hatakuwa na sababu yeyote ya kukufikiria vibaya, hata kama unataka kumwambia jambo kuhusu ndugu zake, mwambie kwa maarifa mengi, sio unaamua kuchukia ndugu zake ukitegemea atawafukuza ubaki wewe peke yako nyumbani
AKhsante Coaster2015, Mungu akubariki sana!! tena sijakosea Mungu akubariki mpaka ushangae! Huyuhuyu! Jackie kanambia kwa mdomo wake, nilipotakakutumia gari yetu, ambayo yeye jack aliiegesha nyumbani kwa Mamaake, eti nika muombe Mama yake Gari yetu! Mwee! ina huuu!

Halafu kana mdomo sana km chiriku sijui jackline wana nini hawa jamani mwee? hapo uliposema ivo kameviimba kanatamani kupasuka yaaani! ptyuuu!

Eti ktika kujitetea amenitaja mimi eti ni mambo ya walimwengu amesahahu ulimi unaumba kweli sooon utakuwa part ya walimwengu kwangu'' nina hakika pasi na shaka hii Avatar hii ni ya mke wangu! jacquilline asibishe!

episode anazo zisema humu ziko vilevileeee! haiwezekani eti jacquline wooote Duniani mfanane kwa vitendo!! hakijawahi kutokea kitu cha namna hiyo Duniani, huyu ni yeye tu hana jinsi niliunganisha tukio na matukioa alidhani ni siri!

Lkn afanye ufanyavyo yote yana mwisho na aliyeshika mpini ni mimi!! tena siyo kunianika tu haoni tabu kujipandisha wakti nina ongea mpaka house akamwambiaga taatibu!
 
Jul 29, 2021
68
125
Sasa hapa ndio wanimiksi kabisa maana hata jeiefu ni sosho media, wanipa ushawishi nisiamini hata uzi wako mdada
Ninachokisema Ni kwamba vitu vingine havi postiwi...lakini andiko langu si la kwangu peke angu. Haya mambo yanatuzunguka sisi wote.
Mkuu kwani unadhani atasemaje hapo? atasema ivoivo!! eti ''ya walimwengu'' yaani huyu mke wangu kisirani sana, hapo kajipanga kunishambulia maksudi tu! na anajua maksudi mie ntajua tu! ananitumia ujumbe kijanja!! halafu avatar yangu hajibu,

Hata yaani huyu! FB, yumo!, w/app yumo!, Instagram!, mawee niseme nini mie! ila mie huko nimekausha, kasoro Quora tu ndo simuoni kurandaranda kule!! yaaani huyu mwanamke ni pasua kichwa sana,

Yaani iko ivi hata nikimwambia haya! ataniruka, kifupi amejipanga kunichafua na kunitumia maujumbe ya kijinga kupitia humu, aliwahi nambia kuwa nina kisirani simsikilizi, Oooh! sijui nina asili ya Mara ndo maana nina kiburi ivi!! dadazake wanamchekea!

Ila basi tu dawa yake naijua, najua kabisa nikimwambia atakana tu futi mia! eti siyo yeye ni majina tu kufanana!! lkn story izi zinaenda sawa,sawa n tunavoishi. wanawake yaani mie sina hamu mie!! na simu yake haiguswi mkali huyo!! kununa sasa Maweee!

Sasa mie nimechukua jukumu la kwanza kumuonyesha dadake anavo ninanga mdogo wake mitandaoni, dadake kaniruka anasema eti ni pressure yangu tu!! yaani wanadharau hawa!!! heee! sometimes anajishahu! ukimuhakikishia ujinga wake anafake km utani ivi!1

yaani nina mengi sana ya kuongea kuhusu huyu Mwanamke, Mkuu unajua chanzo ni nini mpaka tufikie hatua hii? kipindi falni nyuma Mie niliomba ushauri tu uliomuhusu yeye! humu humu JF lkn sikumtaja, ila

niliweka kwa majina X'' kwa jinsi tuvokuwa tunaishi kiharakati nikatoa km hadithi!! km ujuavyo kuna vidada vimbeya km nini! si vikapeleka habari bana!! akainyaka! ndo na yeye ananifanyia ivi kulipizia!

Ajabu sasa yeye kapata wachangiaji wengi ajili yeye ni mwanamke! lkn mie nilipata kiduchuuuu!! tena sidhani km uzi wenyewe bado uko humu! ila hyu Mke wangu bana hapana nahisi kizunguzungu!! kuna siku niliwaza nianze kimya kimya? roho nyingine ikakataa!

Usimuone ivo kuniruka eti mie kujitetea ni ya walimwengu hata Nyumbani ivoivo! ni tabia ya mke wangu! ana kipaji cha kujikausha na jambo likapotea kihivo!!

sasa hapo ndo chanzo cha haya yooote make aliniambia ivi ''tutaona basi mimi na wewe nani mwenye haki!! sasa kuuumbe na yeye ameyaleta humu, akibisha ule uzi wangu ntaufufua hapa hapa!

Lkn sasa wanawake hawana akili anaweza weka humu mpaka picha yangu, mnione weee!! wakunanga waninange, si mtanijua? hicho tu ndo sipendi!! yaani ka-mwanamke kakorofi ni hakn mfano!! haya majina ya kina Jack haya?? jamani pwiiiii!!! Mie tena .......... nimekoma mie!
Sijui una mtu kweli anayeitwa Jackie au unafanya hivi kwa propaganda na uweze kujulikana au watu wakuonee huruma au umepanga tu kunichafua au una furahia uigizaji wako. Mimi sio mkeo, niliamua niipotezee nikidhani huu ni utani, but naona unaendelea mzee. Naomba ujiheshimu na uniheshimu. Mimi sipendi sifa za kipuuzi.
 
Jul 29, 2021
68
125
Kwahiyo mume asipende Ndugu wala wazazi wake?;;
Sijasema hivyo. Nilichomaanisha Ni kwamba kila kitu kipewe nafasi yake na pale utakapo shindwa kufanya hivyo ndo marumbano yatakapoanza. Mama atabaki kuwa mama, ndugu watabaki kuwa ndugu na mke atabaki kuwa mke. Na ndio maana Neno laMungu linasema kuwa mwanaume na mwanamke wataacha familia zao wataungana na kuwa mwili mmoja. Na kitu chochote ambacho mnafanya inabidi muongee na mkubaliane kwa pamoja.
Sikusema usimlete mama yako nyumbani, anaweza kuja kutembelea lakini sio kuhamia hapo. Nyie Ni watu wazima na mnahitaji faragha na sio mara chache, sasa nyumba ikiwa na watu wengi inakuwa ngumu Sana.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,872
2,000
Pole sana.

Aisee aikwambie mtu kosea kuchagua nguo, utabadilisha, kosea rafiki utawapotezea lakini usikosee mume. Ukikosea mwanaume wa kuolewa nae tu, umekosea kila kitu.
Kikweli wanaume wa siku hizi, hawana uchungu hata kidogo na familia zao.

Utakuta mume ana mke na watoto lakini Bado anaongozwa na maeneno ya ndugu zake na mama yake. Sisemi kuwa Ni vibaya kuisikiliza wazazi wako na dada na Kaka zako la hasha. Unaweza kuwasikiliza lakini maneno ya kuambiwa changanya na ya kwako.

Wewe nii mume sasa na sio mtoto mdogo, unafamilia hao ndio kaka na dada zako wa kwanza, damu yako. Ndio watu wa kwanza unaotakiwa kuwasikiliza.

Unakuta mwanaume anapata mshahara wote anampelekea mama yake, mke akiitaji matumizi anaambiwa akayafutae kwa mama mkwe, hivi kweli jamani?

Wengine wanaleta wazazi, hasa mama zao waje wakae Hapo anapoishi na mke wake. Hivi unadhani Ni ustaarabu kwa mama kusikia mambo yote mnayoyafanya mkiwa chumbani. Mnakosa hata muda wa faragha kati yenu mwishowe mnajikuta hamna mapenzi Tena kwenye ndoa kwasababu hamuhudumiani.
Na mwanamke hawezi kukuambia usimlete mama yako, kwasababu ataonekana ana roho mbaya. Ila ukweli ndio huo.

Wanaume wengine mkipata pesa kidogo tu mnataka ujionyeshe kwa watu kuwa wewe una mapesa, eti unaweka heshima baa. Embu acheni ujinga mkalee familia zenu. Kama hamuyataki majukumu kwanini mmeingia kwenye ndoa?
Wanaume mjirekebishe jamani, inasikitisha Sana.
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Ninachokisema Ni kwamba vitu vingine havi postiwi...lakini andiko langu si la kwangu peke angu. Haya mambo yanatuzunguka sisi wote.

Sijui una mtu kweli anayeitwa Jackie au unafanya hivi kwa propaganda na uweze kujulikana au watu wakuonee huruma au umepanga tu kunichafua au una furahia uigizaji wako. Mimi sio mkeo, niliamua niipotezee nikidhani huu ni utani, but naona unaendelea mzee. Naomba ujiheshimu na uniheshimu. Mimi sipendi sifa za kipuuzi.
Mtu wangu sikoseagi mie! miaka yote hiyo wewe nisikujue? si unaona mara ngapi umenambia kauli km hii eti ''mie si mkeo?;; tena vile vile ongea yako mie naijua bana sibahatishi!! si ulinambia iv ivi siku ile paleee mbele ya masangati

baada ya kula ndizi choma na nundu umesahau? km vipi siyo kweli nitumie picha yako tu in box nimuone sasa hivi
 
Aisee sifanyi huo ujinga. Kama ndio njia yako ya kupata contacts na picha zangu umefeli kabisa. Ni bora ungeomba tu instead ya kutumia those stupid tricks, what a senseless person.
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,891
2,000
Aisee sifanyi huo ujinga. Kama ndio njia yako ya kupata contacts na picha zangu umefeli kabisa. Ni bora ungeomba tu instead ya kutumia those stupid tricks, what a senseless person.

Aisee sifanyi huo ujinga. Kama ndio njia yako ya kupata contacts na picha zangu umefeli kabisa. Ni bora ungeomba tu instead ya kutumia those stupid tricks, what a senseless person.
Am not stupid as such! unless other wise U'r too!, above all you'r senseless too! cause u' forwarded your under bed naked jargons! if not U' would'nt have dared to behave like dat!! as a well buttered type of woman!
 
rude Boi

Member
Jul 28, 2021
70
125
Wewe hujui chochote!!..watu walianza maisha wanalala chini!!..Mama akija nae analala chini!!.. unadhani kuoa ni kutomba tu!!..Chumba kimoja kinaweza kulaza wewe na mkeo pamoja na wazazi wako pia mtoto akapata nafasi hapo hapo!!..
Hivi Kuna watu wa namna hii? Kweli wahenga walisema " tembea uone" Kuna makabila ya ajabu Tanzania hii. Utalalaje chumba kimoja na mkeo pamoja na Mama yako.Hata Kama ni upendo,this is too much.
 
Myangu

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
3,996
2,000
Am not stupid as such! unless other wise U'r too!, above all you'r senseless too! cause u' forwarded your under bed naked jargons! if not U' would'nt have dared to behave like dat!! as a well buttered type of woman!
Mkuu sasa leo mtalalaje humo ndani? Maana kila mtu kwenye pembe yake anaandika JF ndoa hizi balaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom