Kosea vyote lakini siyo mtu wa kuoa ama kuolewa naye

Pole sana mkuu, wewe nunua mwenyewe kama ni matunda, kwa nyanya apewe hela ya kununulia za siku 2 tu zisizidi hapo, kuwa makini na watoto asiwambukize hiyo tabia yake wafundishe watoto uwe nao karibu sana maana hapo utatengeneza kizazi cha ujinga
Asante, mkuu.
 
Kama umeshajua huo ndio udhaifu wake basi tumia nafasi hiyo kucover mwenza wako mbona hivyo ni vitu vidogo vidogo sana mimi nlidhani labda usaliti.... kwani mkuu wewe hupo perfectly
Lakini naweza kutofautisha matunda yaliyooza na mazima, mkuu.
 
Pole sana
Ndo mana watu wengi wanaona ndoa zetu kizazi hiki ninza 4g
Ujue ukioa unatakiwa uwe tayari kiakili kwamba mwenza wangu anakuja hajakamilika
Na je kama hajakamilika ntaweza kuishi nae na hayo mapungufu yake?kama ndiyo basi ndo maana ya uvumilivu ndoani
Huyo kaja na mapungufu ya uchafu au kutojua kuchagua mboga...ila mengine si yupo saafi kabisaa??bas pambana nae shikilia mazur yake mapunguf yake ufanye wew kama kununua mboga nk
Yan mkewangu alikua hapend pombe
Ila akaja kuelewa mbelen kwamba ndo mapunguf yangu hayo ukitoa pombe mengine ananiona nipo sawa bas mambo frrsh roho inaenda vizur...yeye mwenyew alikua yupo rafu nk nimemvumilia nafanya usaf muhimu mwenyew maisha yanaenda tunapendana daima
Asante, mkuu.
 
Back
Top Bottom