Chikumba one
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 1,009
- 1,642
Inapotokea Mtoto anafanya mambo ya kipuuzi halafu Mzazi wake anamshangilia tena mbele ya wenye hekima, basi kosa sio la huyo Mtoto, ni kosa la Mzazi.
hii coment ndio imenifanya nimuelewe mleta mada, hata hivyo yale mambo ya kipuuzi yanayofanywa na mtoto yanaweza kuwa na tija kwa watu flan flan...Watakao kuelewa hapa hawatafika 10%!!!! Ninachojiuliza inakuwaje mtoto wa mwisho ndio Msemaji wakati kuna mtoto wa kwanza, wa pili, na wengine wengi tu kabla ya mtoto wa mwisho?
Watakao kuelewa hapa hawatafika 10%!!!! Ninachojiuliza inakuwaje mtoto wa mwisho ndio Msemaji wakati kuna mtoto wa kwanza, wa pili, na wengine wengi tu kabla ya mtoto wa mwisho?
Hata yule mtoto aliyepewa jukumu la kulipa mishahara ya walinzi pia hajahusishwa katika sakata.Watakao kuelewa hapa hawatafika 10%!!!! Ninachojiuliza inakuwaje mtoto wa mwisho ndio Msemaji wakati kuna mtoto wa kwanza, wa pili, na wengine wengi tu kabla ya mtoto wa mwisho?
baba na Mtoto, ni Kama chupa na Kizibo!Hata yule mtoto aliyepewa jukumu la kulipa mishahara ya walinzi pia hajahusishwa katika sakata.
Na kijiji hiko majanga hayataisha,laana zitwaandama kuchwa kutwa na umaskini wa fikra na akili utawajaa piaNa ukiona mtoto amewahi kumpiga Mzee wa umri zaidi ya babake, basi ujue Mzazi wa mtoto huyo kala hasara. Ukiona Mzazi haioni hasara hiyo, basi ujue kijiji kizima kimekula hasara.