Kosa lao ni nini?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kosa lao ni nini??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbavu za Mbwa, Jan 5, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Nimeangalia taarifa zote za habari kuanzia TBC1, ITV na CHANNEL 10 picha za maandamano ya wanachama na wafuasi wa CHADEMA zimenisikitisha sana hasa baada ya kutafakari, iwapo wangeachwa waandamane hadi watakapochoka nini kingeharibika? Na hata kama taarifa ya Afande IGP kuwa intelijensia inaonesha kuwa uvunjifu wa amani ungetokea, kwa nini POLISI wasiimarishe ulinzi pamoja na kuwasisitiza viongozi wa CHADEMA kuwa wawahamasishe wafuasi wao kutoleta fujo!!

  Nawasihi viongozi na watawala wetu, mswapige watu. Waacheni waandamane, waacheni waoneshe hisia zao.

  NAULIZA TENA, WALIOPIGWA KOSA LAO NI NINI??
   
Loading...