Kosa la NEC, adhabu kwa wapiga kura


QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
854
Likes
2
Points
0
QUALITY

QUALITY

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
854 2 0
Jana nilikuwa katika vituo kadhaa. Mfano mtu amekuwa anapiga kura kituo cha Mwalimu Nyerere (kata ya Ndugumbi) tangu mwaka 2005. mwaka huu anaambiwa jina lako halipo! anakosa haki yake ya kupiga kura. Na hapo anayeumia ni mpiga kura aliyeharibu muda wake kumbe NEC ndo wamekosea. hata kama ana kadi, hakuruhusiwa kupiga kura. je hiyo ni haki?
 

Forum statistics

Threads 1,252,188
Members 482,034
Posts 29,799,625