Kosa la Lowassa lilikuwa kubwa kuliko la Pinda?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,865
2,000
Hivi kosa la Lowassa na la Pinda lipi ni kubwa?

Kama Lowassa aliwajibika kwa makosa ya walio chini yake,ni kwanini Pinda analindwa?

Hivi kashifa ya Richmond na hii ya mauji,utesaji na udhalilishaji wa raia ni ipi liyo mbaya zaidi?

Hivi inatosha tu kuwawajibisha mawaziri bila waziri mkuu?

Je,huyu Raisi wetu ni mtu seriuos kweli na matatizo ya nchi hii?

Wadau,hapa si bure bali kuna jambo!
 
G.O.C

Member
Nov 6, 2011
32
0

Jamani ya kaizari tumwachie kaizari!
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,234
2,000
Hivi kosa la Lowassa na la Pinda lipi ni kubwa?

Kama Lowassa aliwajibika kwa makosa ya walio chini yake,ni kwanini Pinda analindwa?

Hivi kashifa ya Richmond na hii ya mauji,utesaji na udhalilishaji wa raia ni ipi liyo mbaya zaidi?

Hivi inatosha tu kuwawajibisha mawaziri bila waziri mkuu?

Je,huyu Raisi wetu ni mtu seriuos kweli na matatizo ya nchi hii?

Wadau,hapa si bure bali kuna jambo!

El amekamata ranchi ekari 9000 tanga, wafugaji wanahangaika kutafuta malisho? Pinda amekamata ranchi wapi? You can't compare the two
 
koplo

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
574
250
El amekamata ranchi ekari 9000 tanga, wafugaji wanahangaika kutafuta malisho? Pinda amekamata ranchi wapi? You can't compare the two

Hiyo ranchi kaikamata leo! hao wafugaji wameharibu walikokuwa ndio maana wanahangaika now, pia sio kila penye majani basi ngombe wakae acha chuki binafsi
 
epson

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
554
500
kama ni suala la political responsibility Pinda naye ilibidi ajiuzuru. Mbona Kagasheki hajahusika moja kwa moja na amejiuzuru?
 
Ze mimi

Senior Member
Oct 13, 2013
128
195
Bila shaka PM atakua ameonekana hana hatia na kiukweli roho ilikua inaniuma kuondolewa kwake,ila sasa abadilike katika utendaji wake.
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,452
2,000
labda hujuhi lakini naamini unajua ila unajifanya umesahahu,
1. Issue ya RICHMOND alisimamia yeye kama waziri mkuu akishirikiana na IKULU na kama utakumbuka ilisemwa ilikuwa Raisi aende sema Mwakyembe walificha ficha wakaamua Lowassa ajitoe kafara.

2. Hili la sasa lilisimamiwa na wizara zenyewe na halijawahi kuwa chini ya waziri Mkuu.
So kama alivyosema Mwanasheria mkuu KILA MTU NA LWAKE.
 
Hivi hata kashifa ya juzi kuhusu TAMISEMI nayo haimuhusu?

Mimi naona Kikwete anaogopa aibu ya kuwa na mawaziri wakuu 3 katika utawala wake tena kwasababu za kushinikizwa kutokana na utendaji mbovu wa hao mawaziri wakuu.

Kwa kifupi,hii ni aibu kwa Raisi mwenyewe.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
kwani pinda kafanya kosa gani kama kweli unauwezo wa kuchambua mambo.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Hivi hata kashifa ya juzi kuhusu TAMISEMI nayo haimuhusu?

Mimi naona Kikwete anaogopa aibu ya kuwa na mawaziri wakuu 3 katika utawala wake tena kwasababu za kushinikizwa.

kashifa gani au unachanganya na ile ya chadema kuchakachua ruzuku mkuu sioni kosa la pinda.
 
ndaha

JF-Expert Member
Jul 6, 2013
347
0
Pinda hafai hafai hafai...hatuwezi kuwa na PM anaevuta mashati wenzake tu...awajibike au awajibishwe lasivyo kila mtu ajiandae kuwa waziri nchi kwani wabunge wote watateuliwa na kuwajibishwa chini ya PM Pinda.Uwaziri mkuu hauwezi simple and crystal clear
 
kapongoliso

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,337
1,500
Lowasa alipitisha tenda ya Ricmonduli mwenyewe. Pinda hajahusika moja kwa moja katika kashfa ya tokomeza. Kosa la pinda ni uzembe wakati Lowasa alishiriki moja kwa moja, na alikatiwa 10% yake. You can't make analogy of the two devils. While EL is a deadly devil Pinda is a corrupted saint.
 
bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
Hiyo ranchi kaikamata leo! hao wafugaji wameharibu walikokuwa ndio maana wanahangaika now, pia sio kila penye majani basi ngombe wakae acha chuki binafsi

Neno chuki unalitumia vibaya. Tangu Kambarage amulize kutaja alikopata utajili wote alionao hadi leo hajaelezea, tatizo liko wapi?
 
KOKUTONA

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
8,594
2,000
Hivi hata kashifa ya juzi kuhusu TAMISEMI nayo haimuhusu?

Mimi naona Kikwete anaogopa aibu ya kuwa na mawaziri wakuu 3 katika utawala wake tena kwasababu za kushinikizwa kutokana na utendaji mbovu wa hao mawaziri wakuu.

Kwa kifupi,hii ni aibu kwa Raisi mwenyewe.

Na gharama pia maana hata angejiuzulu, bado angeitwa waziri mkuu mstaafu kama El so bado serikali ingemgahramia yeye na bado ambaye angeteulia angekuwa na bajeti yake kwa mujiu wa sheria.

Fedha za walipa kodi masikini sisi. Amalizie tu nngwe yake kwa kweli but abadilike
 
Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
13,117
2,000
Tatizo la nchi hii ni Rais na wala siyo mawaziri. Tanzania mwaka wa 8 huu unaisha bila kuwa na Rais. Ila tunastahili pongezi kwa kuweza kukaa miaka mingi hii bila Rais na still tunadunda tu

Nimefurahishwa sana na jibu lako, huu ndo ukweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom