Kosa la kutobadilisha jina la African Barrick Gold na Acacia kama lipo faini yake ni elfu moja tu!

6130486d20ffc6b5fd97edb5e5025346.jpg
 
Tumesikia Acacia haijasajiliwa lakini kampuni mama African Barrick Gold imesajiliwa.

Kusajiliwa kwa African Barrick Gold kunaiondolea Acacia umuhimu wa kusajiliwa mara ya pili bali kubadilisha jina kutoka African Barrick Gold na kuwa Acacia.

Kama hilo halijafanyika ni kosa la kwanza na adhabu yake ni kulipa faini ya Tshs 1,000/= wakirudia watatakiwa kila siku kosa linaendelea walipe faini ya Tshs 5,000/= ambayo nina uhakika Barrick hawana bifu na hilo. Kifungu cha 324 & 327 vya CAP 212 vya sheria ya makampuni ndivyo vinavyotamka

Kichekesho ni kuitofautisha African Barrick Gold na Acacia hivyo kuja na khoja za kijiweni eti ni kampuni mbili tofauti.

Mwanzisha khoja ni kampuni mbili tofauti ndiye mwenye jukumu la kutoa nyaraka za lini, wapi na kwa kiasi gani Acacia iliinunua African Barrick Gold.

Someni sheria ya kuanzisha makampuni nchini Cap 212.
Wewe Acacia hawatakuchukua. Lissu amekula na bado taarifa ya makinikia haijawaacha salama.
 
Pamoja na washauri wao wote na wapenzi wao na washika bendera wao, Acacia wameshindwa kukumbuka kitu kidogo sana kama kusajili kampuni au kubadilisha jina. Hii inaweza hata kuwanyima haki ya kushtaki popote pale duniani. Ndio maana Magufuli anasema wasisajiliwe mpaka watubu na kukubali makosa yao
Hilo kosa haliwezi kusababisha wakose haki yao. Kosa hilo faini yake ni BUKU tu kama mleta uzi alivyoeleza. Halafu tambua kwamba hapo hakuna usajili mwingine ni jina linabadilishwa tu basi.
 
Tumesikia Acacia haijasajiliwa lakini kampuni mama African Barrick Gold imesajiliwa.

Kusajiliwa kwa African Barrick Gold kunaiondolea Acacia umuhimu wa kusajiliwa mara ya pili bali kubadilisha jina kutoka African Barrick Gold na kuwa Acacia.

Kama hilo halijafanyika ni kosa la kwanza na adhabu yake ni kulipa faini ya Tshs 1,000/= wakirudia watatakiwa kila siku kosa linaendelea walipe faini ya Tshs 5,000/= ambayo nina uhakika Barrick hawana bifu na hilo. Kifungu cha 324 & 327 vya CAP 212 vya sheria ya makampuni ndivyo vinavyotamka

Kichekesho ni kuitofautisha African Barrick Gold na Acacia hivyo kuja na khoja za kijiweni eti ni kampuni mbili tofauti.

Mwanzisha khoja ni kampuni mbili tofauti ndiye mwenye jukumu la kutoa nyaraka za lini, wapi na kwa kiasi gani Acacia iliinunua African Barrick Gold.

Someni sheria ya kuanzisha makampuni nchini Cap 212.
Hakuna option ya kwenda jela miezi sita?
 
Barrick anamiliki hisa za Acacia...kosa la Acacia ni kufanya biashara nchini bila vibali kwa kupitia mgongowa Barric.So hapa kosa siyo Barric kutobadilisha jina..ni la Accacia kufanya biashara kinyemela
Barrick ni mmiliki mkuu wa Acacia alichotakiwa kufanya ni kubadilisha jina tu chini ya kifungu cha 324 na kwa kutokufanya hilo Msajili anapaswa kumpiga faini ya BUKU tu na kumwamuru abadili jina chini ya kifungu cha 327 cha sheria ya makampuni sura ya 212.
 
Kuna kitu kikubwa zaidi ya usajili wa BRELA. Hii kampuni ACCACIA 'haina' leseni ya kuchimba madini Tanzania. Hapo wanasheria mnasemaje? ACCACIA ni wavamizi tu tunaweza hata kutaifisha mitambo yao na mgodi?
 
Hilo kosa haliwezi kusababisha wakose haki yao. Kosa hilo faini yake ni BUKU tu kama mleta uzi alivyoeleza. Halafu tambua kwamba hapo hakuna usajili mwingine ni jiana linabadilishwa tu basi.
Umesha wachokonowa serikali unafikiri serikali itakuchekea na kukupa usajili. Labda binguni sio hapa duniani.
 
Barrick ni mmiliki mkuu wa Acacia alichotakiwa kufanya ni kubadilisha jina tu chini ya kifungu cha 324 na kwa kutokufanya hilo Msajili anapaswa kumpiga faini ya BUKU tu na kumwamuru abadili jina chini ya kifungu cha 327 cha sheria ya makampuni sura ya 212.
Mambo hayaendagi Kibashite hivyo mkuu..kuna tofauti kubwa kati ya kampuni na sole business..sole business unaweza fanya hivyo kibashite bashite..but kwa Kampuni yenye its own values hawawezi fanya huo ujinga..kwanza ni kashfa kubwa sana kwa kampuni kubwa kama Acacia or Barric kufanya hiyo michezo ya kibashite bashite ili kuiibia nchi masikini kama Tanzania
 
Pamoja na washauri wao wote na wapenzi wao na washika bendera wao, Acacia wameshindwa kukumbuka kitu kidogo sana kama kusajili kampuni au kubadilisha jina. Hii inaweza hata kuwanyima haki ya kushtaki popote pale duniani. Ndio maana Magufuli anasema wasisajiliwe mpaka watubu na kukubali makosa yao
Mmiliki ni African Barrick Gold na menejimenti kaikabidhi kwa Acacia sasa mwajiriwa hujisajili au hubadili jina tu kama alizembea mdai buku lakini huwezi kumfilisi au kumzuia kufanya shughuli zake
 
Tumesikia Acacia haijasajiliwa lakini kampuni mama African Barrick Gold imesajiliwa.

Kusajiliwa kwa African Barrick Gold kunaiondolea Acacia umuhimu wa kusajiliwa mara ya pili bali kubadilisha jina kutoka African Barrick Gold na kuwa Acacia.

Kama hilo halijafanyika ni kosa la kwanza na adhabu yake ni kulipa faini ya Tshs 1,000/= wakirudia watatakiwa kila siku kosa linaendelea walipe faini ya Tshs 5,000/= ambayo nina uhakika Barrick hawana bifu na hilo. Kifungu cha 324 & 327 vya CAP 212 vya sheria ya makampuni ndivyo vinavyotamka

Kichekesho ni kutoitofautisha African Barrick Gold na Acacia hivyo kuja na khoja za kijiweni eti ni kampuni mbili tofauti.

Back
Top Bottom