Kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumrudisha Mtulia Kinondoni

Chadema wameanza vizuri na waendelee vizuri,wamefanya kile CCM hawakutarajia.kama CCM wangejua mapema kuwa chadema watasimamisha mtu,hakika Mtulia wasingemrudisha ili kuleta ushindani na kuondoa hofu ya kushinda.

Ila chadema wametangaza baada ya CCM kutangaza mgombea wao,hakika Kinondoni wapo wana CCM watakaopigia Chadema,na sisi huku tutatumia mitandao kuwaambia wanakinondoni kwa undani zaidi juu ya maana ya uwakilishi kisomi zaidi(representation according to HANNA PITKIN),tutaeleza juu ya mgawanyiko wa mihimili (separation of power ,according to Baron De Montesquieu, according to john Locke,According to prof.Kabudi).

Pia tutamalizia kuandika kutoa elimu kuangalia kazi za mbunge (according to Hague &Harrap)namna ambavyo hazihusiani hata kidogo na kumuunga mkono Mh.Rais,Naamini wana kinondoni wataamua Mtulia haelewi wajibu wake kama mbunge hakuna haja ya kumchagua tena,kabisa hakuna haja we shall fight until the last cell ,wengine hapa hatuna vyama ila huwa tunapinga ujinga ,Sitetei Chadema wala chama chochote pinzani.

Ila CCM wamewaona wana kinondoni mazezeta,mazuzu kwa kuwarudishia yule yule aliyejiuzulu,tutawaambia wananchi kisomi juu ya maana ya social Contract (according to John Locke) kuwa alichaguliwa na wana kinondoni akavunja mkataba na wananchi Leo tena anahitaji mkataba wakati mkataba walioingia aliuvunja kabla ya kazi ya uwakilishi kuisha tena bila kuwaambia.Wana kinondoni sio mazezeta hivyo.

Nitatumia maandiko yangu,ushawishi wote wanakindoni wasifanye Makosa kumchagua MTULIA ni matusi makubwa dhidi yao.

Pia nitaandika Kuhusu chadema msitaki kuharibu kampeni ,maana najua tangu mikutano imekatazwa mnahamu ya kuongea ,sasa msitumii majukwaa ya kampeni kushambulia watu (Appeal Ad Hominem/attacking personality), demokrasia,katiba mpya,udikteta punguzeni hata Zungumzeni shida za watu chonde chonde,hata kama mtayasema hata msiache zungumzia shida za kinondoni tafadhali.

Fanyeni Tafiti kuwa kinondoni kuna shida gani,matatizo gani,changamoto gani za wananchi pia mzisemee,kwani mkishambulia tuu CCM ndio wanachukulia huu kama udhaifu wenu.waambieni wananchi kazi za mbunge kwa undani.

Shukrani, Mtulia Hafai hata kidogo.

Abdul Nondo.
0659366125.
0762082785.

Abdulnondo10@gmail.com
Unadhani huo ni uchaguzi wa Vyama vya SIASA? huo ni Uchaguzi wa Chama cha SIASA na Silikali MTULIA hata KURA
zisipotosha zitaTOSHESHWA!
 
Mimi sioni kosa la sisi EM Ila naona limekuwa kama jaribio LA kupima IQ ya Watanzania
 
Wamejiandaaa pia na mapolisi wengi na silaha za moto..They are not that stupid
 
Huyo mzanzibar hawezi kushinda Kinondoni!
Na kushindwa kwake kutakuwa Na mshindo mkuu!!

Hakika itakuwa ni fedheha na aibu kubwa Kwa wana Kinondoni iwapo watamchagua Mtulia kuwa mwakilishi wao. Hakika haifai Kwa namna yoyote ile.............
 
Ngoja nami nishiliki katika hili japo naamini kuna wanawanazuoni watakuja hapa.

Moja mpaka sasa tunavyama viwili vyenye nguvu vinavyotaka ubunge kinondoni vyama hivyo ni Ccm na chadema nahisi hawa wengine sijui hawana promo au hawajachukua form za kugombea ubunge jatika jimbo la kinondoni ila yote mema tu.

Ukianza kumtazama mgombea wa ccm bwana mtulia kwa historia ya kisiasa tu katika jimbo hilo la kinondoni tayari anasifa na hana sifa, kuna msemo wa kiswahili usemao mchimba mashimo.
Ukiangalia sifa ni kwamba tayali ameshakuwa mbunge katika jimbo hilo kwa kuchaguliwa na wananchi katika uchaguzi wa mwaka 2015 kwa tiketi ya cuf kwa mgongo wa ukawa.
Ukiangalia kukosa sifa awamu hii ni kuwa alijiudhuru kwa sababu feki kwa maono yasio na mashiko.

Kwa kuludi tena kinondoni kuwaambia wananchi wamchague tena ni kazi kidogo japo inategemea mpinzani wake atakuwa na lipi la kusema.

Yote kwa yote waamuzi ni wananchi wa jimbo la kinondoni.

Ukimuangalia mgombea wa chadema naye pia anasifa za kushinda ubunge huo na kukosa sifa vile vile..

Nianze na sifa.. Mwalimu amekuwa mwenyeji na siasa hasa za kinondoni na ndio alikuwa kampeni meneja wa mtulia mpaka kushinda..
Salumu mwalimu anakwenda kugombea akiwa kifua mbele kwa kosa la usaliti lililofanywa na mtulia kuuacha ubunge kwa hoja ya kuunga mkono juhudi za chama tawala.... (rais ni mtekelezaji wa sera za chama chake)

Katika uzaifu wa mgombea wa chadema ni kuwa pamoja na uwenyeji wake wa kukaa kinondoni basi anauzaifu pia huyu jamaa Ni mzaliwa Zanzibar kama mtulia akimwelezea vizuri katika hilo na kuhusianisha na shida za wana kinondoni basi anaweza kuokota dodo tena la ubunge kinondoni.

Yote kwa yote waamuzi ni wana kinondoni.

Ccm wanamakosa katika uteuzi wao wa kumludisha mtulia kama msaliti wa wanakinondoni hapo kinondoni na cdm wana makosa katika kumsimamisha mwalimu katika jimbo la kinondoni huku fika wakijua fika udhaifu wa mgombea wao.

Ni jukumu la vyama vingine vya siasa kama ACT wazalendo, Nccr na wengine kutumia fursa hii ya kujipatia mbunge kutoka katika chama chao... Upande wa cuf ya lipumba anaweza kusimamisha mgombea kwa maana ya demokrasia ila dhamira yake anaijua mwenyewe.

Mungu ibariki kinondoni Mungu ibariki Tanzania nawatakia maandalizi mema ya kampeni mpaka upigaji wa kura na kumpata mwakilishi wa jimbo la kinondoni tena
ishu kubwa hapo ni ya IMANI ambayo wewe hujaeleza
 
Hakika itakuwa ni fedheha na aibu kubwa Kwa wana Kinondoni iwapo watamchagua Mtulia kuwa mwakilishi wao. Hakika haifai Kwa namna yoyote ile.............
Na ni dharau kubwa sana,huyo na wa siha ni sawa na wahujumu uchumi wachezea kodi zetu hizo gharama za uchaguzi zingetatua shida nyingi sana majimboni humo. Hao hawaamini wakipewa ubunge wanaweza wakahama tena ikawa hasara tena kuitisha uchaguzi wa Tatu tena.
 
Unadhani huo ni uchaguzi wa Vyama vya SIASA? huo ni Uchaguzi wa Chama cha SIASA na Silikali MTULIA hata KURA
zisipotosha zitaTOSHESHWA!
Hizo chaguzi ngumu sana sio rahisi hivo walisusia wamerudi kwa kishindo wana maana yao.
 
Alichokosea Mtulia ni kusema amejiuzuru kumuunga mkono Rais(Serikali) badala kusema amejiuzuru kukiunga mkono CCM kwa kuisimamia vyema serikali. Hii ingeleta maana zaidi kwa kuwa inaendana na majukumu yake ya kibunge, hilo alilosema yeye linapingana na majukumu yake ya kibunge.

..itategemea sana elimu ya uraia waliyonayo wapiga kura wa kinondoni.

..wabunge wa ccm hawaisimamii serekali, wanachofanya ni kuisifia mwanzo mwisho.

..kwa hiyo hata kama Mtulia angesema anataka kuisimamia serekali akiwa ccm bado angeonekana kituko.
 
Chadema wameanza vizuri na waendelee vizuri,wamefanya kile CCM hawakutarajia.kama CCM wangejua mapema kuwa chadema watasimamisha mtu,hakika Mtulia wasingemrudisha ili kuleta ushindani na kuondoa hofu ya kushinda.

Ila chadema wametangaza baada ya CCM kutangaza mgombea wao,hakika Kinondoni wapo wana CCM watakaopigia Chadema,na sisi huku tutatumia mitandao kuwaambia wanakinondoni kwa undani zaidi juu ya maana ya uwakilishi kisomi zaidi(representation according to HANNA PITKIN),tutaeleza juu ya mgawanyiko wa mihimili (separation of power ,according to Baron De Montesquieu, according to john Locke,According to prof.Kabudi).

Pia tutamalizia kuandika kutoa elimu kuangalia kazi za mbunge (according to Hague &Harrap)namna ambavyo hazihusiani hata kidogo na kumuunga mkono Mh.Rais,Naamini wana kinondoni wataamua Mtulia haelewi wajibu wake kama mbunge hakuna haja ya kumchagua tena,kabisa hakuna haja we shall fight until the last cell ,wengine hapa hatuna vyama ila huwa tunapinga ujinga ,Sitetei Chadema wala chama chochote pinzani.

Ila CCM wamewaona wana kinondoni mazezeta,mazuzu kwa kuwarudishia yule yule aliyejiuzulu,tutawaambia wananchi kisomi juu ya maana ya social Contract (according to John Locke) kuwa alichaguliwa na wana kinondoni akavunja mkataba na wananchi Leo tena anahitaji mkataba wakati mkataba walioingia aliuvunja kabla ya kazi ya uwakilishi kuisha tena bila kuwaambia.Wana kinondoni sio mazezeta hivyo.

Nitatumia maandiko yangu,ushawishi wote wanakindoni wasifanye Makosa kumchagua MTULIA ni matusi makubwa dhidi yao.

Pia nitaandika Kuhusu chadema msitaki kuharibu kampeni ,maana najua tangu mikutano imekatazwa mnahamu ya kuongea ,sasa msitumii majukwaa ya kampeni kushambulia watu (Appeal Ad Hominem/attacking personality), demokrasia,katiba mpya,udikteta punguzeni hata Zungumzeni shida za watu chonde chonde,hata kama mtayasema hata msiache zungumzia shida za kinondoni tafadhali.

Fanyeni Tafiti kuwa kinondoni kuna shida gani,matatizo gani,changamoto gani za wananchi pia mzisemee,kwani mkishambulia tuu CCM ndio wanachukulia huu kama udhaifu wenu.waambieni wananchi kazi za mbunge kwa undani.

Shukrani, Mtulia Hafai hata kidogo.

Abdul Nondo.
0659366125.
0762082785.

Abdulnondo10@gmail.com

Tupa nondo.
 
Huyo mzanzibar hawezi kushinda Kinondoni!
Na kushindwa kwake kutakuwa Na mshindo mkuu!!
Tembelea magomeni karibu yote, nenda msisiri yote, mkwajuni na baadhi ya maeneo ya mwananyamala wazanzibar na wapemba ni wengi ajabu. Hata wale waliovunjiwa nyumba zao pale mkwajuni naye akajifanya kufungua kesi ambayo ilitupwa na huyuhuyu anayekwenda kumuunga mkono ni matusi kwa wahanga wale! Angefanya busara kama angerudi kwao rufiji kuvua kambale! Hana maana hata kidogo.
 
Huu uchaguzi mara hii hachaguliwi mtu wanachavua chama
Hao ni nembo tu ya vyama vyao
Chama chenye wanachama wengi ktk hilo jimbo ndo kitaibuka mshindi
 
Labda kwenu Chato na Kolomije..huku kwetu ni balaa..huyo Mtulia alishinda huko mabomu yanalipuka ...masela na machizi tukapige kura..CCM hatuitaki Kinondoni...uzuri 80% wazawa kunajuana ..wakileta mamluki bury him/her alive
We jifanye hero tu ukiwa nyuma ya keyboard.

Nilivokwambia wao hawajali khs kumwaga damu we umeelewa nini?
 
Back
Top Bottom