Uchaguzi 2020 Kosa la kimkakati walilofanya CHADEMA

Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya
Kwani yule aliyesema '...uchaguzi ukiwa guru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi nchi ni CHADEMA? Yule aliyesema CCM imejaa majizi ni CHADEMA? Hata Kinana na Nape nao walikua wanachadema?
Tusipoteze kumbukumbu haraka. Kama mnajua mmefanya maendeleo kama vile kununua ndege, SGR, Nyerere dam, fly over, ufisadi kuisha, uchumi kukua na kuimarika, nk mna wasiwasi gani tena? Najua wananchi wanajua aliyofanya Rais na huyo Lissu hana cha kuzungumza lakini mbn ni kama mnamuhofia?
 
Sio kwa povu hili ww msichana.
 
Musiba punguza jazba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nakuelewa Kwa mbaali!! Ila huyu kazidi mno aisee kukebehi hata vitu vyetu ambavyo tunaviheshemu ingawa havikuwahi kutungiwa Sheria namna gani ya kuviheshimu

Yaani, Watanzania wote wa enzi na enzi hata Leo tukiwa tunautumia wimbo wetu nje na ndani ya nchi yetu kufanyiwa dhihaka kiasi hiki ni kuwadharau Watanzania wote waliowahi na wanaendelea kuheshimu wimbo wetu
Point
 
Kwani yule aliyesema '...uchaguzi ukiwa guru na wa haki CCM ijiandae kukabidhi nchi ni CHADEMA? Yule aliyesema CCM imejaa majizi ni CHADEMA? Hata Kinana na Nape nao walikua wanachadema?
Tusipoteze kumbukumbu haraka. Kama mnajua mmefanya maendeleo kama vile kununua ndege, SGR, Nyerere dam, fly over, ufisadi kuisha, uchumi kukua na kuimarika, nk mna wasiwasi gani tena? Najua wananchi wanajua aliyofanya Rais na huyo Lissu hana cha kuzungumza lakini mbn ni kama mnamuhofia?
 
Attachments

  • 2451677_Apandacho_mtu_ndicho_atakachovuna__268_X_480_.mp4
    370.1 KB
Mhai
Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya
Mhaini mama yaco aisee usitufokee
 
1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia kuwa iwe jua iwe mvua matokeo yakupe ushindi, my brother apo waeleze hiyo mbinu umeshindwa na haitofanyika kama ulivyo waahidi hao mabeberu wako. TAMAA MBAYA, UWEZO WA KIUONGOZI NA KALAMA ZAKE HAUNA, pole

2. Kitendo cha kufanyia remix wimbo wa Taifa kwa kujitaja wanachama wa chadema mungu awabariki, huo ni ubaguzi wa wananchi tena wa waziwazi kwa watu wasiokuwa na chama na wenye vyama tofauti ya chadema. Hii inamaanisha mnataka kuanzisha nchi nyingine ndani ya JMT kwa kuwa na hati miliki ya wimbo wenu. Kwa kitendo hicho hakikubaliki kwa umma wa Tanzania wanaoipenda amani ya nchi yetu.

3. Poleni sana kwa kuwa mumeahidiwa mambo makubwa na hao mabeberu ambao mnataka tukiwapa nchi muweze kutubadilishia sheria za inchi yetu zitambue ushoga kama ni ndoa halali za utamaduni wa kitanzania, na huku ukijua wazi kuwa ndoa ya jinsia moja ni dhambi kwa mwenyezi mungu, maana nani atatumia papuchi ambazo kila siku na kila wakati wanazaliwa.
Akili ndogo hii!
 
Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya

Can you deny that CHADEMA has caught your underpants? sasa kama lugha ya malikia huijui siyo kosa langu. maana siyo kwa hasira hizi umeandika huku unahema utadhani umekimbizwa na chatu, LISSU keshaingia kiboko yenu mwambieni polepole awalipe na extra duty maana hizi mbilinge za LISSU ni shida.

Mlikuwa mmerelax sana for almost three yrs sasa hivi mtalazimika kaufanya kazi na usiku, ombeni posho za mkesha
 
Kushabikia upinzani huu ni sawa na kuonekana ni mvuta bangi tu,na ni kweli kabisa chadema na wafuasi wake ni wavuta bangi,jinsi wanavyoongea na wafuasi wanavyoshabikia bila kukumbuka waliwahi kusema nini huko nyuma,hili ni kundi la wahuni kama mahuni mengine tu yanayo kula unga,hayasemi yatatufanyia nini wananchi kazi ni jaziba tu juu ya Rais na matusi kuonyesha wazi wana mawivu makubwa ya kushika mamlaka ili yakachume pesa na si kushughulika na masuala ya wananchi,mavuta bangi wahaini wa nchi haya
Ni utaahira mkubwa sana kuishabikia CCM
 
Back
Top Bottom