Kosa la Esau wa kwenye Biblia ni lipi?

"He was just to follow the drawn line" hicho ndicho anachopenda Mungu na pia yeye anajua mwisho kabla ya mwanzo
Mungu aliamua jambo lake lazima liwe, yona alitumwa akajifanya kupiga chenga mbona ilimgharimu.
 
Ninyi mnao fikiria bikra 72,mito ya ulevi mtakwenda kuwa disappointed sana. Kule hakuna usiku wala mchana, kule hakuna kuoa wala kuolewa maana tutabadiishwa na kupewa miiili mipya isiyo ya kufa tena.
Hata Adamu alikuwa hawezi kufa alipo umbwa mwanzo lakini mwanamke alikuwa nae na alikuwa anapiga mashine, sasa mwanamke hausiki na kufa wala kutokufa, kufa ni adhabu ya kula tunda la mti ule walio katazwa , maisha ya milele wewe unashangaa wanawake 72 si wachache sana hao
 
Shida mkuu unayawaza kibinadamu zaidi,, hapo huwezi kupata jibu sahihi, vipi kama YUDA Aliyemsaliti YESU na kuishia kujiua ukamkuta peponi amepewa kutawala departments kadhaa? <angali kibinadamu anaonekana ni mkosaji anayeonekana ni msaliti? ,,haya ni maandiko yako-coded, huwezi badilisha kitu.
Ndio maana maandiko yanasema, watoza ushuru na wenye zambi watawatangulia kwenye uzima wa milele na yamkini wana wa nuru kutupwa katika ziwa la moto. Wale tuwaonao hawafai kwa sababu ya matendo yao siku ya mwisho tutashangaa ndio maana hutakiwi kuhukumu mtu
 
Makosa ya Esau

1. Kuuza Ukubwa wake/ kujidharau.
Mwanzo 25:
34. Yakobo akampa Esau mkate na chakula cha dengu, naye akala, akanywa, kisha akaondoka, akaenda zake. Hivyo Esau akaidharau haki yake ya mzaliwa wa kwanza

2. Kutowaheshimu wazazi wake Kwa kufanya uzinzi na Wanawake WA mji ule.
Yeye kama mzaliwa wa Kwanza angepaswa afuate Kanuni na Maadili ya familia ya Isaka. Hakupaswa kuoana na watu WA mji ule.

Mwanzo 26:
34 Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoa Yudithi, binti Beeri, Mhiti, na Basemathi, binti Eloni, Mhiti.
35 Roho zao Isaka na Rebeka zikajaa uchungu kwa ajili yao.
Umesoma kweli namna Yakobo alivyo pata baraka?
 
Hata Adamu alikuwa hawezi kufa alipo umbwa mwanzo lakini mwanamke alikuwa nae na alikuwa anapiga mashine, sasa mwanamke hausiki na kufa wala kutokufa, kufa ni adhabu ya kula tunda la mti ule walio katazwa , maisha ya milele wewe unashangaa wanawake 72 si wachache sana hao
Mabikra 72 tafuteni humu duniani, huko mbinguni hamna huo upuuzi. Ni hukumu, either motoni au peponi milele.
 
Ndio maana maandiko yanasema, watoza ushuru na wenye zambi watawatangulia kwenye uzima wa milele na yamkini wana wa nuru kutupwa katika ziwa la moto. Wale tuwaonao hawafai kwa sababu ya matendo yao siku ya mwisho tutashangaa ndio maana hutakiwi kuhukumu mtu
Kabisa mkuu.
 
Toka lini ngono ikawa upuuzi? Ngono ni zawadi ya milele kabisa, rahaaa ya asili , huu ni ujira ambao tutaupata kama malipo yetu baada ya hukumu,
Kama unatazamia malipo ya aina hii better utubu, maana jehanum ipo na huko ndio watu watalipwa kwa waliyotenda. Baada ya kufa ni hukumu, na sio kwenda kuchagua warembo na pombe. Hizo mito ya ulevi, wanawake 72 ni mafundisho potofu kabisa.
 
Kwa mujibu wa biblia huyu mwamba alikataliwa na Mungu tangu akiwa tumboni hajui chochote kuhusu dunia. Katika maisha yake ya kila siku jamaa alikuwa anapambana kuwinda misituni ila Mungu akamchagua mtoto wa mama Yakobo.

Katika mazingira kama haya sioni sababu ya kuyahukumu maisha yake kwa mfano kuuza haki ya mzaliwa wa kwanza kwa chakula kwa sababu alishakataliwa huyu jamaa.

Tunamtukuza Yakobo kwa kitu ambacho hakukipambania, he was just to follow the drawn line".

Au mnasemaje wafuasi wa haya mambo.
Mungu hakumkataa alisema,mkubwa atamtumikia mdogo
 
Kama unatazamia malipo ya aina hii better utubu, maana jehanum ipo na huko ndio watu watalipwa kwa waliyotenda. Baada ya kufa ni hukumu, na sio kwenda kuchagua warembo na pombe. Hizo mito ya ulevi, wanawake 72 ni mafundisho potofu kabisa.
Warembo huchagui ni sehemu ya package ya malipo ya watendao mema, Ngono ni zawadi ya asili kabisa wala hatuna wasiwasi nayo, wewe kama Mungu wako hawezi kukupa nguvu za kiume baada ya kufa hilo sio tatizo letu, sisi peponi tutakula maziwa na asali, wake zetu tutakuwa nao , rahaaa tupu
 
Sasa hizo nguvu si tupewe huku huku tuanze kuzitumia huku huku.tunaweza fika huko tukapangiwa style moja tu
 
root source ya haya yote ni mungu mwenyewe, Kabla hawajazaliwa wasijue jema wala baya alisema mkubwa atamtumikia mdogo. Nani wa kupingana naye? Kwa hiyo yaliyokuwa yanamtokea esau ni utimilifu wa maneno ya mungu ili aje amtumikie yakobo kama alivyosema mwanzo. Utaanzaje kumjaji esau katika situation kama hiyo, yeye alikuwa anapita katika njia aliyotengenezewa na mungu mwenyewe.
Hapana ndio maana maandiko yanasema hakukumbuka kutubu, maana yake lilikuwa kosa, Petro alimsaliti Yesu mara tatu lakini alikumbuka kutubu maana yake alikiri makosa yake hata kama Yesu alisema kuwa atamkana mara tatu
 
Warembo huchagui ni sehemu ya package ya malipo ya watendao mema, Ngono ni zawadi ya asili kabisa wala hatuna wasiwasi nayo, wewe kama Mungu wako hawezi kukupa nguvu za kiume baada ya kufa hilo sio tatizo letu, sisi peponi tutakula maziwa na asali, wake zetu tutakuwa nao , rahaaa tupu
Comment za kiume hizi safi kabisa
Na nukuu

wewe kama Mungu wako hawezi kukupa nguvu za kiume baada ya kufa hilo sio tatizo letu, sisi peponi tutakula maziwa na asali, wake zetu tutakuwa nao , rahaaa tupu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Makosa ya Esau

1. Kuuza Ukubwa wake/ kujidh4. engu, naye akala, akanywa, kisha akaondokyake ya mza[/B]

Wanawake WA mji uleaadili ya familia ya Isaka. Hakupaswa kuoana na watu WA mji ule.

Mwanzo 26:
34 Esau alipokuwa mwenye miaka arobaini, akamwoawa ajili yao.

tangu wakiwa tumboni hawajui chochote mungu alisema esau atamtumikia yakobo. Hayo yanayomtokea ilikuwa ni njia ya mungu ili kutimiza kusudi lake la esau kumtumikia yakobo.
kwa nini sasa leo tunamdharau esau na kumuona mzembe na mkosaji kwa mapito negative aliyopitia ambayo inaonesha moja kwa moja kwamba mungu alipanga ili kumuweka inferior kwa yakobo kama alivyosema wakati bado wakiwa tumboni?

he was such an innocent man just slidding on ready made bad path made by god in order to achieve what he said since esau knew nothing in his mother womb.

anatendewa haki kweli huyu mtu kwa kuonekana mzembe na anayejidharau wakati mungu ndo kamtengenezea njia hiyo mbaya?
 
Back
Top Bottom