Kosa kubwa Watanzania tunaloelekea kulifanya

Hofu yako ni sawa na baadhi ya waafrika waliohoji "tukiwaondoa wakoloni nani atatutawala".
Unaweza ukajikuta umezoea shida mpaka hutaki ziishe.Hilo ni tatizo la kisikolojia.
Kama mikono yangu haitahusika kuiua CCM nitangoja waombolezaji waondoke nifukue maiti nikainyonge.
CCM ikifa siwezi kulia nitaitupa kagera iwe chakula cha mamba.

hapana usitupe historia kwani tumefanya makosa makubwa ya kuacha TANU na ASP vife na kuzaa chama ambacho hakina uelekeo kwasasa lakini si tu CCM kitunzwe bali kifundishwe ni namna gani kimefanya makosa.

CCM kimeshakubali kutoka madarakani lakini ombi letu tu kitapotoka madarakani sio mkichinje kama sadam . ombi letu kiondolewe madarakani lakini kifanywe chama kikuu cha upinzani ili kama kikijirekebisha basi tuwe na siasa za kubadilishana madaraka baina ya vyama tawala kama marekani

Mtoa thread vipi Chama Cha Magamba (CCM) kilisha kufa tayari, imebaki kula misosi tu siku ya 40

Mimi nadhani hakuna mtu anayeiua sisiem zaidi ya wao wenyewe i.e viongozi na wanachama wake.

hapana usitupe historia kwani tumefanya makosa makubwa ya kuacha TANU na ASP vife na kuzaa chama ambacho hakina uelekeo kwasasa lakini si tu CCM kitunzwe bali kifundishwe ni namna gani kimefanya makosa.

CCM kimeshakubali kutoka madarakani lakini ombi letu tu kitapotoka madarakani sio mkichinje kama sadam . ombi letu kiondolewe madarakani lakini kifanywe chama kikuu cha upinzani ili kama kikijirekebisha basi tuwe na siasa za kubadilishana madaraka baina ya vyama tawala kama marekani

CCM akifa rafiki yake wa karibu CUF atakua mpinzani mkuu

CCM inakufa kifo cha asili hakuna mwenye nia ya kukiua ila kinakufa, labda atokee Masiah aje akifufue!

Waungwana natambua mengi yatazungumzwa lakini ukweli jamani nchi hii ni tajiri kupita kiasi,ifike wakati tu-take risk kuweka watu ambao tunaona walau wanaweza kuwa na uzalendo wa kweli.Kwa muono wangu CCM wakikaa pembeni tukawapa CDM nao wasipotufikisha tunapopataka tunawaweka pembeni pia hii itasaidia chama kitakachoshika dola kutofanya masihara,hii hali ya kutokukubali ukweli kuwa CCM sasa ikae kando ndio itakayofanya nchi hii iwe maskini mpaka mwisho wa dunia kwa sisi tunaoamini.La maana tujitahidi tuwafumbue macho watanzania wenzetu haswa wa vijijini ambao wengi wao wanajua ili mambo yaende ni CCM tu!!watu gani tusiokubali ku-take risk kwenye maendeleo yetu?

Jamani kwenye mambo ya msingi tupunguze siasa,maana siasa sasa ni kila mahari hata ujenzi wa barabara ya lami ndani ya hifadhi ya taifa ya Serengeti tulitaka kuleta siasa jamani haifai!!viumbe watatoweka!!

HIVI SISI TUMEROGWA?????????????????

naunga mkono hoja ya kuwa CCM ikae kando tena mapema sana ili wengine waendeshe nchi, wao wageuke chama cha pembeni na si kufa

Hatutaki CCM wala Chadema. Tunataka Mapinduzi ya Kuondoa Regime nzima ya mtandao wa CCM mpaka vyama vya Upinzani. Tunataka Revolution.

Maandamano ya Amani ya Kuiondoa CCM Madarakani.

Power to THE PEOPLE.

thumbnail.aspx

Hapo ndipo kwenye msingi na hoja yangu nilipenda chama cha CCM kianguke tena mapema mno lakini kisife kiwe hai na tanzania tuwe na vyama vya siasa viwili vyenye nguvu ambayo kuanzia hapo viwe vikibadilishana madaraka kama wamarekani walivyokuwa na democratic na republican

Llakini CCM kinapoelekea si kuchokwa tu na wananchi bali mpaka kinachokwa na viongozi wa chama chao wenyewe hili ndilo kosa kubwa ambalo halitoweza kukifanya kiwepo hai tena baada ya kudondoka

Assumption yako iko too hypothetical... Hapa tanazungumzia Siasa ya Tanzania which is one typical example of an African country with typical African politics... (ni kuwaonea kuwafananisha na system ya US) Tusiende mbali na tuangalie hawa jirani zetu kama Kenya na Zambia... Wale ambao sasa wapo Serkalini (chama tawala cha sasa) unafikiri hicho chama walochokitoa (thou kilikua na mizizi dhatiti) ndo kinawapa Pressure kweli? Hamna kabisa competition from former Big Vyamas... Competition ipo labda kwa Mugabe kule, ambako hata yeye ni sababu tu bado yupo in power na ndo the last say katika hio system yao ya sasa ya Governance...

Hatutaki CCM wala Chadema. Tunataka Mapinduzi ya Kuondoa Regime nzima ya mtandao wa CCM mpaka vyama vya Upinzani. Tunataka Revolution.

Maandamano ya Amani ya Kuiondoa CCM Madarakani.

Power to THE PEOPLE.

thumbnail.aspx

lakini je ni vema kufanya mabadiliko pasipo kuhusisha uongozi wa kisiasa? nini faida zake? je unajua madhara yake?

Assumption yako iko too hypothetical... Hapa tanazungumzia Siasa ya Tanzania which is one typical example of an African country with typical African politics... (ni kuwaonea kuwafananisha na system ya US) Tusiende mbali na tuangalie hawa jirani zetu kama Kenya na Zambia... Wale ambao sasa wapo Serkalini (chama tawala cha sasa) unafikiri hicho chama walochokitoa (thou kilikua na mizizi dhatiti) ndo kinawapa Pressure kweli? Hamna kabisa competition from former Big Vyamas... Competition ipo labda kwa Mugabe kule, ambako hata yeye ni sababu tu bado yupo in power na ndo the last say katika hio system yao ya sasa ya Governance...

labda tuangalie zambia kwani kenya wao wameua chama tawala na hili ndilo ninalotaka kuliepuka. na madhara ya kuua KANU kila mmoja ameona jinsi wanasiasa wanavyopambana si kwa sera bali ni mitandao .

Godwine thats the thing... yaani ni kwamba katika nchi za Africa... ama niseme nchi nyiingi za kimaskini, Chama ambacho huwepo katika Utawala hujitahidi kwa kila namna kuto ng'amuka at all cost! For once wakitolewa wanabaki kua Historia.... Nafurahi umeona mwenyewe dhahiri kabisa kwa Wakenya na hio KANU... That is the same na Zambia... UNIP (ikiongozwa na Kaunda wakati huo; -hawa ndo walikua kundi la kugombea Uhuru sambamba na akina Nyerere).. Hicho Chama ambacho ni perfect example ya CCM, frankly ni kwamba sasa kimekufa... na Pale Mzee Kenneth atapo kata tu Roho nafikiri ataingia na hicho chama kaburini... Kimebaki jina out of Pride... na ndio hivo itakua kwa CCM... Believe me you...

When the empire ignores the warnings no doubt it crumb and collapse.Hiyo ndiyo natural law ya politics and government.Angalia historia yote inayohusu kuanguka kwa nchi,serikali,falme na vyama sababu ni kusahau malengo mahususi ya chama and collective goals ambayo yalifanya wananchi waupe ridhaa ya kuongoza.TZ na historia inayopotosha umma,NI SAHIHI KUSEMA CCM ILIPIGANIA UHURU WA TANZANIA?NI SAHIHI KUSEMA TANZANIA INASHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU?Kama nilivyosema kuwa ignoring the warnings and history is the source to collapse.

mkuu fafanua kwanini unauliza CCM haikupigania uhuru? wakati vielelezo vinaonyesha CCM imetokana na TANU na ASP ambavyo vilipigania uhuru?

Back
Top Bottom