Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

Inaonekana wewe unamapungufu.
Anachozungumza mwenzio, ni Mr Bean kwa maana ya upuuzi wake. Katika upuuzi wake anasaidia watu kwa kipuuzipuuzi hivyo hivyo.
Akiwa Atikson( kama nimepatia jinalake halisi) hafanyi au kifikiri kama Mr Bean, huko kwongine.
Achana naye, nimeshaona kumbe hata suala la analogy hajui, sasa mtu kama huyo ushauri wangu kwake ni kwamba aende shule zaidi
 
Kwa maslahi ya nani sasa? Hawa jamaa wa JF kuna wakati tutawaambia basi jibuni nyie thread zetu sasa, maana inaonekana mnajua tunachotakiwa ku-post. Hivi hawajatambua uzuri wa JF ni post zetu eeh?
We need brand new platform
 
Mfano, ukiwaambia Polisi kuna mtu kanipa kazi ya kutafuta mtu wa kuua mke wake (contract killer), Polisi wanapaswa kukupa askari ambaye atajifanya yeye ndie muuaji aliepatikana , sio wakuambie wewe mtafutie huyo muuaji halafu uwe unatupa taarifa! Hiyo sio tu ni unprofessional, bali ni the most stupid mistake a police force can make
 
Inshort hii kesi feki imepikwa na Ramadhani Kingai alafu sirro na boss wake wakajitwika msalaba bila kujua madhara yake ya baadaye.
Usisahau na Mtemi/Chifu wetu mkuu naye wakati anahojiwa na bibisii, alisema eti washirika wa mtuhumiwa mkuu walishakamatwa na kwa sasa wanatumikia vifungo vyao!

Wapi? Anajua yeye na wasaidizi wake! Hii nchi ina mambo mengi sana ya kushangaza.
 
Mkuu, tatizo ni kwamba, usipoanza na shahidi mwenye impact kubwa na ukamweka shahidi mwenye impact kubwa kuja baadae umeshaharibu kila kitu, kwa kuwa shahidi mwenye impact kubwa itabidi atoe ushahidi unaolingana na shahidi wa kwamza hata kama ameboronga. La sivyo utakuwa na mashahidi ambao wanatofautiana na unapoteza kesi.

Kwa hiyo tukisha msikia shahidi wa kwanza na kuona ameboronga, basi tunajua huna kesi tena ya kushinda!
haya maelezo ni ya kisheria au ni maoni yako?
 
Inaonekana wewe unamapungufu.
Anachozungumza mwenzio, ni Mr Bean kwa maana ya upuuzi wake. Katika upuuzi wake anasaidia watu kwa kipuuzipuuzi hivyo hivyo.
Akiwa Atikson( kama nimepatia jinalake halisi) hafanyi au kifikiri kama Mr Bean, huko kwongine.
hapa unalazimisha awe amemaanisha unavyotaka wewe, msome tena.
 
hapa unalazimisha awe amemaanisha unavyotaka wewe, msome tena.
Ngoja niseme mwenyewe basi - na nimeshakuambia. Mr. Atkinson katika uagizaji kama mpumbavu akiwa Mr. Bean bado anafanya matendo ya kusaidia watu. Kwa hiyo lesson ni kwamba hata wapumbavu wanaweza kusaidia watu.

Kwa hiyo nikiwa na malalamiko, nitaenda Polisi. Kujua kwamba Polisi wanafanya upumbavu kama wa kubambikia watu kesi au kufukuza bodaboda hadi Malawi hakutanizuia mie kwenda Polisi kushitaki nikionewa, kama vile tu kujua ilikuwa upumbavu kununua Dreamliner bila kuwa na mipango hususa ya kuiendesha ATCL kibiashara hakutanizuia kupanda Dreamliner kwa ajili ya trip ya Dar-Mwanza.
 
Back
Top Bottom