Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,988
2,000
hapa unalazimisha awe amemaanisha unavyotaka wewe, msome tena.
Ngoja niseme mwenyewe basi - na nimeshakuambia. Mr. Atkinson katika uagizaji kama mpumbavu akiwa Mr. Bean bado anafanya matendo ya kusaidia watu. Kwa hiyo lesson ni kwamba hata wapumbavu wanaweza kusaidia watu.

Kwa hiyo nikiwa na malalamiko, nitaenda Polisi. Kujua kwamba Polisi wanafanya upumbavu kama wa kubambikia watu kesi au kufukuza bodaboda hadi Malawi hakutanizuia mie kwenda Polisi kushitaki nikionewa, kama vile tu kujua ilikuwa upumbavu kununua Dreamliner bila kuwa na mipango hususa ya kuiendesha ATCL kibiashara hakutanizuia kupanda Dreamliner kwa ajili ya trip ya Dar-Mwanza.
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,988
2,000
mwenye busara akikosea huchutama, maneno uliyoandika hayana fasihi yeyote.
Jogoo akiona almasi jalalani atasema kijiwe hiki hakina faida kama nitakayopata nikiona punje moja ya mhindi - Mkuu inabidi ujue fasihi kuyaelewa nilichosema la sivyo utaona hakuna fasihi yeyote!
 
komanyahenry

JF-Expert Member
Sep 15, 2017
826
1,000
Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo?

Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka amtafutie makomandoo wa kumsaidia kufanya ugaidi.

Askari wanaingia laini ya huyu Luteni (bila kujiuliza kama inawezekana Luteni ana ugomvi wake binafsi na Mbowe na anataka tu kuwatumia Polisi kulipiza kisasi)

Kisha Polisi, badala ya kumalizana na huyo mtu ili wachunguze wenyewe (take ownership of the investigation) kama kweli kuna ugaidi - yaani watafute supporting evidence, wanamuambia endelea kutafuta watu wa kumfanyia ugaidi Mbowe halafu uwe unatupa taarifa.

Sasa ukosefu wa umakini wa Polisi wa pili hapa ni kwamba walipaswa wao ndio watoe hao makomandoo (undercover police), sio kumwachia huyu Luteni fake, lakini IGP hadi hapo hajaona ukihiyo unaofanyika. Hao makomandoo walipaswa kuwa watu wa TISS au polisi ili iwe rahisi wao kuwa insiders, lakini kwa uwezo wa IGP hakuwaza mbali kiasi hicho.

Mfano, ukiwaambia Polisi kuna mtu kanipa kazi ya kutafuta mtu wa kuua mke wake (contract killer), Polisi wanapaswa kukupa askari ambaye atajifanya yeye ndie muuaji aliepatikana , sio wakuambie wewe mtafutie huyo muuaji halafu uwe unatupa taarifa! Hiyo sio tu ni unprofessional, bali ni the most stupid mistake a police force can make!

Baada ya muda Luteni anawaambia polisi haya nimeshampa Mbowe makomandoo magaidi wawili.

Sasa tena, badala ya Polisi kuanza kufuatilia hao watu wanakutanana na nani, wananunua vitu gani (kama milipuko kwa ajili ya kulipulia hivyo vituo) wao wanaamua kwenda moja kwa moja kuwakamata hao "makomandoo". Na sio labda wanawakamata wakiwa na Mbowe wanapanga kitu ili wakamate na evidence, hapana.

Sasa masuala ya kujiuliza;
 1. Polisi walimchunguza huyu Luteni ni mtu wa namna gani, kwa mfano kama ana akili sawasawa au anaweza akawa ana matatizo ya kufikria vitu kichwani kutonakana na post war traumas labda katika mission za JWTZ alizohusika? (Yaani ana paranoia ya ugaidi)
 2. Zaidi ya maneno ya huyu Luteni fake wa JWTZ, Polisi hadi wanaamua kufanya arrests, walikuwa na ushahidi wotewote wa ku-support tuhuma za ugaidi - wanasema Mbowe alitoa fedha, kwani katika kutoa fedha kuna mahali Mbowe aliandika "haya ni malipo halali kwa ajili ya vitendo vya ugaidi nilivyopanga"?
 3. Mmoja wa hao makomandoo aliajiriwa na Mbowe kama mlinzi. Je IGP Sirro hakujiuliza kwamba huyu Luteni wa JWTZ anaweza kuwa yeye ndio alikuwa anawapa maagizo hawa Makomandoo kwamba nawapeleka kwa Mbowe ili mkamsaidie kufanya ugaidi bila Mbowe kuwa na habari kwamba watu aliomuomba Luteni amtafutie kama walinzi wanaambiwa kwamba wanaenda Chadema wakafanye ugaidi
 4. Kimsingi, Mbowe ana fursa nzuri ya kumgeuzia kibao IGP Sirro na huyu Luteni wa JWTZ kwamba wao ndio walipanga kutafuta makomandoo wa kufanya ugaidi kwa kumtumia yeye na Chadema, ili hao makomandoo wakifanya ugaidi, huyu Luteni aseme nilishawaambia Polisi ni Mbowe sio mimi - au kwamba Luteni alitaka kufanya Ugaidi, na ili kujilinda, akawahusisha Polisi ili ionekane ni Mbowe, lakini kimsingi yeye ndio aliwatuma makomandoo wakafanye ugaidi kupitia kivuli cha Mbowe na Chadema (ndio maana ilikuwa muhimu sana Polisi kutoa makomandoo wao fake kumpa Mbowe)
 5. Kimsingi, IGP Sirro alitakiwa pia aelewe philosophy ya kupambana na serikali kwa ugaidi. Matukio ya ugaidi mara nyingi yanaendana na mtu au kikundi kujitambulisha kwamba sisi ndio tunahusika na kulipua kitu fulani ili haki zetu zitambuliwe. Hivi IGP Sirro alijiuliza kama Mbowe angefanyaje ugaidi bila kusema sisi Chadema ndio tumehusika? Wanadai Mbowe angelipua vituo vya mafuta - kwani vituo vya mafuta vinamilikiwa na Polisi au CCM hadi Mbowe awe na ugomvi navyo? Hakuna wanachama wa Chadema wanaomiliki vituo vya mafuta - sasa iweje Mbowe afanye ugaidi dhidi ya wanachama wake wa Chadema?
Nina wasiwasi sana kwamba IGP Sirro, kwa kushupalia jambo hili kwa sababu ya issue zake binafsi na Chadema, na labda kijpendekeza kwa watawala, au kutafuta easy popularity, au labda bila kujua anaingizwa cha kike na Luteni ambae hayuko sawa kichwani au ana akili sana, anaweza akawa ametumika na mtu kirahisi sana, na kufanya jambo ambalo ni la kujifedhehesha mwenyewe, kufedhehesha jeshi la Polisi, na kuifedhehesha Tanzania

Na by the way, mie sio Polisi, bali hapa ni common sense tu. Unfortunately, najua kwamba common sense is not common to everyone, even the supposedly professiona
Una

Na by the way, mie sio Polisi, bali hapa ni common sense tu. Unfortunately, najua kwamba common sense is not common to everyone, even the supposedly professionals!
Ninavyofahamu kwa case kama hii, wakati wa briefing kabla ya kwenda kwenye operation kama hii inatakiwa polisi wapewe wajihi wa wahusika pamoja na picha zao, walikuwa na uwezo wa kupata picha zao maana hao watu walitafutwa na mtu wao. hatimaye unazunguka mtaani na gaidi ambaye amepitia mafunzo ya ukomandoo bila ya kuwa na hofu ya kutolokwa?
 
nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
3,315
2,000
Kwa hiyo nikiwa na malalamiko, nitaenda Polisi. Kujua kwamba Polisi wanafanya upumbavu kama wa kubambikia watu kesi au kufukuza bodaboda hadi Malawi hakutanizuia mie kwenda Polisi kushitaki nikionewa,
huu mstari umenisaidia kujua najadiri na mtu wa aina gani.
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,988
2,000
Ninavyofahamu kwa case kama hii, wakati wa briefing kabla ya kwenda kwenye operation kama hii inatakiwa polisi wapewe wajihi wa wahusika pamoja na picha zao, walikuwa na uwezo wa kupata picha zao maana hao watu walitafutwa na mtu wao. hatimaye unazunguka mtaani na gaidi ambaye amepitia mafunzo ya ukomandoo bila ya kuwa na hofu ya kutolokwa?
Hata picha hawakuwa nazo. Walizunguka na huyu mwingine ili awasaidie kuwatambua wenzake🤣
🤣🤣🤣

Hao ndio Polisi wetu bwana - wakiona bodaboda wanaita kwa sauti moja - ulaji huo, fukuza hadi Malawi!
 
nyakubonga

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
3,315
2,000
Jogoo akiona almasi jalalani atasema kijiwe hiki hakina faida kama nitakayopata nikiona punje moja ya mhindi - Mkuu inabidi ujue fasihi kuyaelewa nilichosema la sivyo utaona hakuna fasihi yeyote!
fasihi hua inaonekana yenyewe bila kulazimishwa.
 
Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,988
2,000
fasihi hua inaonekana yenyewe bila kulazimishwa.
Si kweli. La sivyo watu wote wangekuwa wanafaulu paper za literature!

Wewe utasoma The Great Ponds au River Between kama hadithi, lakini mie nitakuambia sio hadithi tu. Kusadikika nk. Ndio maana kuna wasomi na watu kama wewe.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,759
2,000
Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo?

Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka amtafutie makomandoo wa kumsaidia kufanya ugaidi.

Askari wanaingia laini ya huyu Luteni (bila kujiuliza kama inawezekana Luteni ana ugomvi wake binafsi na Mbowe na anataka tu kuwatumia Polisi kulipiza kisasi)

Kisha Polisi, badala ya kumalizana na huyo mtu ili wachunguze wenyewe (take ownership of the investigation) kama kweli kuna ugaidi - yaani watafute supporting evidence, wanamuambia endelea kutafuta watu wa kumfanyia ugaidi Mbowe halafu uwe unatupa taarifa.

Sasa ukosefu wa umakini wa Polisi wa pili hapa ni kwamba walipaswa wao ndio watoe hao makomandoo (undercover police), sio kumwachia huyu Luteni fake, lakini IGP hadi hapo hajaona ukihiyo unaofanyika. Hao makomandoo walipaswa kuwa watu wa TISS au polisi ili iwe rahisi wao kuwa insiders, lakini kwa uwezo wa IGP hakuwaza mbali kiasi hicho.

Mfano, ukiwaambia Polisi kuna mtu kanipa kazi ya kutafuta mtu wa kuua mke wake (contract killer), Polisi wanapaswa kukupa askari ambaye atajifanya yeye ndie muuaji aliepatikana , sio wakuambie wewe mtafutie huyo muuaji halafu uwe unatupa taarifa! Hiyo sio tu ni unprofessional, bali ni the most stupid mistake a police force can make!

Baada ya muda Luteni anawaambia polisi haya nimeshampa Mbowe makomandoo magaidi wawili.

Sasa tena, badala ya Polisi kuanza kufuatilia hao watu wanakutanana na nani, wananunua vitu gani (kama milipuko kwa ajili ya kulipulia hivyo vituo) wao wanaamua kwenda moja kwa moja kuwakamata hao "makomandoo". Na sio labda wanawakamata wakiwa na Mbowe wanapanga kitu ili wakamate na evidence, hapana.

Sasa masuala ya kujiuliza;
 1. Polisi walimchunguza huyu Luteni ni mtu wa namna gani, kwa mfano kama ana akili sawasawa au anaweza akawa ana matatizo ya kufikria vitu kichwani kutonakana na post war traumas labda katika mission za JWTZ alizohusika? (Yaani ana paranoia ya ugaidi)
 2. Zaidi ya maneno ya huyu Luteni fake wa JWTZ, Polisi hadi wanaamua kufanya arrests, walikuwa na ushahidi wotewote wa ku-support tuhuma za ugaidi - wanasema Mbowe alitoa fedha, kwani katika kutoa fedha kuna mahali Mbowe aliandika "haya ni malipo halali kwa ajili ya vitendo vya ugaidi nilivyopanga"?
 3. Mmoja wa hao makomandoo aliajiriwa na Mbowe kama mlinzi. Je IGP Sirro hakujiuliza kwamba huyu Luteni wa JWTZ anaweza kuwa yeye ndio alikuwa anawapa maagizo hawa Makomandoo kwamba nawapeleka kwa Mbowe ili mkamsaidie kufanya ugaidi bila Mbowe kuwa na habari kwamba watu aliomuomba Luteni amtafutie kama walinzi wanaambiwa kwamba wanaenda Chadema wakafanye ugaidi
 4. Kimsingi, Mbowe ana fursa nzuri ya kumgeuzia kibao IGP Sirro na huyu Luteni wa JWTZ kwamba wao ndio walipanga kutafuta makomandoo wa kufanya ugaidi kwa kumtumia yeye na Chadema, ili hao makomandoo wakifanya ugaidi, huyu Luteni aseme nilishawaambia Polisi ni Mbowe sio mimi - au kwamba Luteni alitaka kufanya Ugaidi, na ili kujilinda, akawahusisha Polisi ili ionekane ni Mbowe, lakini kimsingi yeye ndio aliwatuma makomandoo wakafanye ugaidi kupitia kivuli cha Mbowe na Chadema (ndio maana ilikuwa muhimu sana Polisi kutoa makomandoo wao fake kumpa Mbowe)
 5. Kimsingi, IGP Sirro alitakiwa pia aelewe philosophy ya kupambana na serikali kwa ugaidi. Matukio ya ugaidi mara nyingi yanaendana na mtu au kikundi kujitambulisha kwamba sisi ndio tunahusika na kulipua kitu fulani ili haki zetu zitambuliwe. Hivi IGP Sirro alijiuliza kama Mbowe angefanyaje ugaidi bila kusema sisi Chadema ndio tumehusika? Wanadai Mbowe angelipua vituo vya mafuta - kwani vituo vya mafuta vinamilikiwa na Polisi au CCM hadi Mbowe awe na ugomvi navyo? Hakuna wanachama wa Chadema wanaomiliki vituo vya mafuta - sasa iweje Mbowe afanye ugaidi dhidi ya wanachama wake wa Chadema?
Nina wasiwasi sana kwamba IGP Sirro, kwa kushupalia jambo hili kwa sababu ya issue zake binafsi na Chadema, na labda kijpendekeza kwa watawala, au kutafuta easy popularity, au labda bila kujua anaingizwa cha kike na Luteni ambae hayuko sawa kichwani au ana akili sana, anaweza akawa ametumika na mtu kirahisi sana, na kufanya jambo ambalo ni la kujifedhehesha mwenyewe, kufedhehesha jeshi la Polisi, na kuifedhehesha Tanzania

Na by the way, mie sio Polisi, bali hapa ni common sense tu. Unfortunately, najua kwamba common sense is not common to everyone, even the supposedly professionals!
Hii kesi Siro atashindwa vibaya.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
88,029

Njama hii ni ya Sirro mwenyewe akishirikiana na Kingai , huyo luteni ni kapuku aliyelipwa tu ili aanzishe jambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom