Hawana uwezo huo , njia pekee ya kumkosesha ubunge Nabii Lema ni kumuua tu , si kumweka gerezani kwa maagizo kutoka juu .Nia yao mbona kama ni kumkosesha ubunge moja kwa moja?
Imeandikwa , hakuna mwanaccm atakayeuona ufalme wa mbingu .Ni mateso bila chuki...
Wivu bila usuda...
Mapenzi bila upendo...
Kuzunguka makanisani na kapiga magoti mbele ya viongozi wa dini si kipimo cha kuwa muenzi mema ya Mungu.
Kwanini kesi imekuwa ni ya kupigania tuu dhamana badala ya ile kesi ya msingi iliyomweka ndani?KESI YA LEMA:
Korti Kuu Arusha yashindwa kutoa uamuzi baada ya Jamhuri kukata rufaa Korti ya Rufaa kupinga Mbunge G. Lema kupewadhamana. Lema arudishwa rumande
Chanzo : Mwananchi Online