KOROSHO NGOMA NZITO: Wakulima Watinga ofisini kwa Mkuu wa Wilaya kudai malipo yao

Ishu ya kikokotoo si kwamba ana huruma au kuwajali sawa Watumishi, keys point ni kuhofia kura 2020 thus kasogeza mbele kikokotoo kipo likizo,pia kuna chaguzi za mitaa kumbuka.Kikokotoo ndio ilikuwa anguko lake kuu 2020 karudi rivasi Kwa kiswahili inaitwa kastukia mchezo alichanga karata vibaya Lkn si kwamba anawapenda Watumishi.Sawa na kumnenepesha ng'ombe ili umchinje.
Afu teuzi zikitoka, JPM kateua waliotoka upinzani.

Utaskia jitu linalalamika,

"Kwanini amteue aliekua mpinzani.
Hii sio halali, anatuacha sisi tuliokipigania chama na Kulala maporini kwa ajili ya CCM"

Anasahau kua,
Kwa uwezo wake mdogo kichwani ndo Uliommyima chance.

JPM nae ni binadamu,
Ndo Maana nae sometimes huwa anakubali kua Kuna vitu Haviko FAIR.

Mfano;
Kama lile LA KIKOKOTOZI,
Alikubali kabisa kua Serikali yake nayo imechangia kuifilisi mifuko.

Lakini akatuliza akili na KUONA HALIJAKAA SAWA, kua Kustaafu sio dhambi na Mstaafu asibebeshwe zigo hilo.

Na Dada Irene alivyoshupaza Shingo, AKALIWA KICHWA.

KWAHYO;
Hizo pumba wanazojibu humu kwenye mitandao ili waonekane kwenyebmbele ya JPM kua wanakipigania chama.

Na yeye mwenyewe huwa anachekecha na KUGUNDUA KUA ANA BAADHI YA WANACCM Vilaza.

Na tunakoelekea,
Naamini wengi wa wanaCCM watakuja kuvuliwa Uanachama kwa makosa kama haya ya KUONGEA PUMBA kwenye mitandao ya kijamii kama huyu UCD

MAANA,
Wanakidhalilisha sana
Chama Tawala Kikubwa cha Pili DUNIANI.

Wanakidhalilisha sana,
Chama cha Mzalendo Nambari Moja Tanzania, Raisi wetu Mpendwa JPM.

Wanakidhalilisha sana,
Chama cha Mapinduzi CCM





Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkulima halali ni yupi? Serikali ingefanya uungwana imlipe kila mtu aliyeuza korosho...acheni kisingizio cha ukaguzi wa mashamba. Kumbuka kila aliyekuwa na korosha alizipata "kihalali' hata kama ni kwa njia msiyoikubali. Kumbuka kulikuwa na makubaliano kati ya wakulima na hao wanunuzi na kuna rasilimali zilitumika ikiwa hakuenda kuchuma kwenye shamba la mtu kwa wizi.
 
Hakuna kushindwa kitu. Mlisema ndege haziji mpaka sasa tuna ndege tano mpyaaa!! Mradi wa Umeme wa Maji wa Rufiji mlisema hautaanza tayari umeanza! SGR mlisema haiwezekani Novemba 2019 train ya umeme inaanza kati ya Dar na Moro just to mention few projects!! Hapa Kazi Tu ukitaka umbeya na usaliti nenda Chadomo!!
Lipeni pesa za watu acha bra brah......huo mradi wa rufiji hautaisha ng'o

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom