Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 410
Ngoja nisome comments. Huenda nikajifunza kitu
Kwa kithungu intapriti new year vipi nimelipatia?
Hakuna mahali CCM iliagiza serikali kunua korosho.Tulisema mwanzo kuwa serikali ilikurupuka kuvamia ununuzi wa zao la korosho lkn wakereketwa wa ccm wakatuona sisi ni wapinzani wa ccm sasa hivi ona sasa wamekwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu teuzi zikitoka, JPM kateua waliotoka upinzani.
Utaskia jitu linalalamika,
"Kwanini amteue aliekua mpinzani.
Hii sio halali, anatuacha sisi tuliokipigania chama na Kulala maporini kwa ajili ya CCM"
Anasahau kua,
Kwa uwezo wake mdogo kichwani ndo Uliommyima chance.
JPM nae ni binadamu,
Ndo Maana nae sometimes huwa anakubali kua Kuna vitu Haviko FAIR.
Mfano;
Kama lile LA KIKOKOTOZI,
Alikubali kabisa kua Serikali yake nayo imechangia kuifilisi mifuko.
Lakini akatuliza akili na KUONA HALIJAKAA SAWA, kua Kustaafu sio dhambi na Mstaafu asibebeshwe zigo hilo.
Na Dada Irene alivyoshupaza Shingo, AKALIWA KICHWA.
KWAHYO;
Hizo pumba wanazojibu humu kwenye mitandao ili waonekane kwenyebmbele ya JPM kua wanakipigania chama.
Na yeye mwenyewe huwa anachekecha na KUGUNDUA KUA ANA BAADHI YA WANACCM Vilaza.
Na tunakoelekea,
Naamini wengi wa wanaCCM watakuja kuvuliwa Uanachama kwa makosa kama haya ya KUONGEA PUMBA kwenye mitandao ya kijamii kama huyu UCD
MAANA,
Wanakidhalilisha sana
Chama Tawala Kikubwa cha Pili DUNIANI.
Wanakidhalilisha sana,
Chama cha Mzalendo Nambari Moja Tanzania, Raisi wetu Mpendwa JPM.
Wanakidhalilisha sana,
Chama cha Mapinduzi CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mahali CCM iliagiza serikali kunua korosho.
Kama una ushahidi weka mtandaoni.
Ila ccm mliagiza standardgage na stiegers gorge kwa ilani ipi ukurasa wa ngapiHakuna mahali CCM iliagiza serikali kunua korosho.
Kama una ushahidi weka mtandaoni.
Watalipwa lini huna haya kutetea ujinga ......ungekua mkulima wa korosho halafu watoto wanakulilia njaa na unatakiwa kulipa ada za wanao usingeongea mashudu yako haya mende weweWatalipwa hela zao, mnakuwa viherehere sana
Umemwonea katika hili acha nimtetee tuWewe hujawahi pinga kitu
. kafie mbele usikatae maneno yako wewe ulipiga kelele za ndiooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazuri ya kwetu, mabaya yote ya kwenu!Ila ccm mliagiza standardgage na stiegers gorge kwa ilani ipi ukurasa wa ngapi
Acheni wizi lipeni pesa za watu ....watoto wanakufa njaaUtanyooka tu wewe mmbeba mabox na muosha vibibi vya kizungu!
Serikali yako sasa hivi imekua kangomba au hulijui hilo!!!? Una habari kama waziri kawaomba wafanya biashara wakae meza moja waone kama wanaweza kuwauzia hizo korosho walizoiba kwa wakulima??Utasubiri sana wewe kangomba!
Lipeni pesa za watu acha bra brah......huo mradi wa rufiji hautaisha ng'oHakuna kushindwa kitu. Mlisema ndege haziji mpaka sasa tuna ndege tano mpyaaa!! Mradi wa Umeme wa Maji wa Rufiji mlisema hautaanza tayari umeanza! SGR mlisema haiwezekani Novemba 2019 train ya umeme inaanza kati ya Dar na Moro just to mention few projects!! Hapa Kazi Tu ukitaka umbeya na usaliti nenda Chadomo!!
Wadhibitiwe wapi wakati mpaka sasa serikali nayo inafanya Ukangomba huohuoKwanza sidhani hata hao sijui Kangomba watadhibitiwa kwa mbinu ya kukagua shamba.
Maana kimsingi huyo 'kangomba' hana ugomvi na mkulima.
Kwahivyo akiulizwa shamba lako liko wapi si anawapeleka pale kwenye shamba la mkulima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahahahahah ....hakiyamungu mungu anakuonaPUMBANISM/UFIPANISM/BAVICHAANISM ARE STILL WAITING YET FOR CRITICIZING "JPM" AS THE MAIN KICK PLAYER WHEN IT COMES THE TIME FOR KOROSHO PEASANTS TO BE PAYED IS ALREADY REACHED ON EFFECTIVELY.
Sent using Jamii Forums mobile app