Korosho -Kampuni ya Kenya imeingia mitini

IMG_20190225_171352.jpg
:):):eek::eek::eek::eek::eek:
 
Serikali inatafuta mnunuzi mwengine.Tahadhari ya Zitto na Lema kuhusu mnunuzi hatimaye ibainika kweli.
Tanzania open to new buyers of cashew
kama si wapinzani CCM wangeshatuuza kwa mabeberu wa BARICK na ACACIA !

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli nimeamini ule usemi wa roho ya korosho... Kwamba mtu akikuambia kuwa una roho ya korosho inabidi kujitafakari sana... Loh... Korosho koro show wewe... ndio nini hiki unafanya?

Jr
 
Back
Top Bottom