Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Mkulima akiokota korosho anatenganisha na tunda. Korosho(mbegu)anakusanya kupeleka chama msingi (AMCOS)zinapimwa uzito na kusafirishwa kwenda wilayani kwa mtunza ghala (amedhibitishwa na serikali kipitia bodi inayosimamia waendesha maghala pia bodi ya korosho waanakua na leseni zote pili)mtunza ghala au mwendesha ghala anapokea korosho kitaalam kwa kukagua ubora wa korosho kuzingatia ujuzi wao hapo ndio unapata hiyo inaitwa OUTTURN.mwenye korosho daraja la kwanza au la pili linafahamika hapohapo. Si baada ya kuingia ghalani
Hakuna kitu kama hicho.kusema baada ya miezi tunalipa daraja 2 wakati zilipokelewa na mwendesha ghala ikiwa daraja 1.Yaani no uonevu mkubwa
Sijaelewa wazee naomba kueleweshwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameiba vipi bro? natamani nijifunze wapi jamaa kaiba?
Kangomba waliwalipa wakulima bei ya chini TUKASEMA WAMEWAIBIA WAKULIMA.

Huyo anayenadi korosho zetu anazinadi kwa bei ya juu kuliko iliyolipwa wakulima wetu.

Hapa maana yake kama kangomba alivyomuibia mkulima ndivyo huyu dalali anatuibia sisi na jeshi letu!
 
Back
Top Bottom