Korosho hii ni kwa wanaojua kusoma tu

Wacha kudanganywa wewe hakuna kilichouzwa hapo

In God we Trust
Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Taifa ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imesaini mkataba wa mauzo ya korosho ghafi kiasi cha tani laki moja kwa Kampuni ya Kenya ya ENDO Power Solutions kwa malipo ya Shilingi bilioni 418.

Mkurugenzi wa Mkuu wa Bodi ya Taifa ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko, Dk Hussein Mansoor(kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya INDO Power Solutions ya nchini Kenya, Brian Mutembei wakibadilishana nyaraka baada ya kutiliana saini mkataba wa mauziano ya korosho ghafi kiasi cha tani laki moja, katika hafla iliyofanyika jijini Arusha Januari 30, mwaka huu

Gazeti la mwananchi na IPP Media wamenadika tarehe 31 Jan 2019
kama unayajua mengine zaidi ya kuuziana korosho nambie
 
Mtunza ghala akishapokea korosho ikiwa daraja la kwanza.haiwezekani ubora ukashuka kwa miezi michache .na kama uharibifu ubora umesababishwa na utuzaji kwa mtunza mkulima anapataje hasara?
TUNDURU kuna mwaka korosho ilikaa zaidi ya miezi nane kwenye maghala ya export trading
Na ziliuzwa na ubora uliopokelewa.hapo kuna uonevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtunza ghala akishapokea korosho ikiwa daraja la kwanza.haiwezekani ubora ukashuka kwa miezi michache .na kama uharibifu ubora umesababishwa na utuzaji kwa mtunza mkulima anapataje hasara?
TUNDURU kuna mwaka korosho ilikaa zaidi ya miezi nane kwenye maghala ya export trading
Na ziliuzwa na ubora uliopokelewa.hapo kuna uonevu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatufanya hatujui nini maana ya korosho

In God we Trust
 
tuliambiwa ni mteja na amepewa bei.... Yeye mnunuzi anazitanga kuziuza kwa faida zaidi ambayo ndio utaratibu wa kawaida wa business
Sasa mbona anatuibia?
Kangomba nao si walifuata principles za biashara unazotuambia leo na mkawataifisha korosho zao?
 
Eh kumbe ina grade bora kabisa ya AA halafu huku nyumbani serikali yetu yenyewe inatwambia kuwa imeshuka ubora!.
Huu ni uporaji huu!
ule upotoshaji ulifanywa ma waziri makusudi, ila kwa kuwa baba ndo mwizi hawezi kemea

jiwe mwenyewe siku ya kukataa ofa ya majaliwa alisema "korosho inayo limwa Tz n grade A tupu" nilipo sikia waziri akisema eti grade B nkajua watu washa umizwa
 
Back
Top Bottom