Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,990
Serikali ya Tanzania kupitia Bodi ya Taifa ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko imesaini mkataba wa mauzo ya korosho ghafi kiasi cha tani laki moja kwa Kampuni ya Kenya ya ENDO Power Solutions kwa malipo ya Shilingi bilioni 418.Wacha kudanganywa wewe hakuna kilichouzwa hapo
In God we Trust
Mkurugenzi wa Mkuu wa Bodi ya Taifa ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko, Dk Hussein Mansoor(kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya INDO Power Solutions ya nchini Kenya, Brian Mutembei wakibadilishana nyaraka baada ya kutiliana saini mkataba wa mauziano ya korosho ghafi kiasi cha tani laki moja, katika hafla iliyofanyika jijini Arusha Januari 30, mwaka huu
Gazeti la mwananchi na IPP Media wamenadika tarehe 31 Jan 2019
kama unayajua mengine zaidi ya kuuziana korosho nambie