KOROGWE: Uongozi wa Kijiji wauza mgodi wa madini kwa mwekezaji kinyemela

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Uongozi wa kijiji cha Kweisewa wilayani Korogwe wauza mgodi wa madini unaomilikiwa na wananchi kwa mwekezaji kinyemela.

Wananchi waulalamikia uongozi wa kijiji kwa kutowashirikisha wananchi wakati wa kuuza, wasema hawana mkataba na mwekezaji huyo.

Wananchi wasema maamuzi kama hayo huwafanywa na mkutano mkuu wa kijiji lakini wanashangaa maamuzi kufanyika bila kushirikisha wanakijiji.
 
Back
Top Bottom