Korogwe, Tanga: Waliomburuza Jamaa Kwenye Bodaboda Mpaka Kumuua Wakamatwa

Kuna rafiki yangu Mwanza walimvamia nyumbani kwake. Wakamkata mapanga vibaya sana, mwanae mmoja akauawa kwa mapanga, kisha wakaingia ndani na kuchukua fedha zote zilizokuwemo. Jamaa mpaka leo ni mlemavu. Alivoona hii video aliongea kama ulivoongea. Mtu kama hayajakutokea utakuwa na huruma lakini kama kimekukuta vizuri, sidhani kama utaongea habari ya ubinadamu maana wao wakija huo ubinadamu hawana.
Bome-e anasema keshavamiwa ila ana utu!! Kwa mwizi au jambazi, sina ubinadamu nao, kinachowagharimu hawa ni kujirekodi tu, mengine wapo fair kabisa! Malipo ni hapa hapa!!

Unadhani jitu kama likuulia familia, linakujeruhi na linaondoka na mali zako. Unahangaika na polisi linakamatwa linatoa rushwa linarudi mtaani halafu linakuja kuku-threat tena!! Halafu nimuhubirie ubinadamu 😂😂😂
 
Ukiona unaweza kufanya hayo basi wewe ni mnyama!Sina moyo wa hivyo aisee,siwezi kufanya kitu kama hicho!
Tofauti yangu na wewe ndiyo hiyo,siwezi kufanya hivyo!Namuomba Mungu aendelee kunipa moyo nilionao!
 
mwaka fulani nikiwa ninasoma shule ya Korogwe girls,vijana walifanya tukio kama hili na walimpitisha huyo mwizi kwenye barabarana ya lami,karibu kabisa na shule.Hakika walisababisha taharuki sana kwa wanafunzi.
 
Bome-e anasema keshavamiwa ila ana utu!! Kwa mwizi au jambazi, sina ubinadamu nao, kinachowagharimu hawa ni kujirekodi tu, mengine wapo fair kabisa! Malipo ni hapa hapa!!

Unadhani jitu kama likuulia familia, linakujeruhi na linaondoka na mali zako. Unahangaika na polisi linakamatwa linatoa rushwa linarudi mtaani halafu linakuja kuku-threat tena!! Halafu nimuhubirie ubinadamu

kiasili kila mtu ana moyo wa aina yake.

ukiona simba wa kufungwa kamuua mfugaji,sio sababu msosi umechelewa,sababu ndio asili yake kula viumbe wenzie.
ng'ombe hawezi kukuuma na kula nyama yako hata awe na njaa kiasi gani!!

hao vijana ni makatili tu,huwenda ni vibaka wabaya zaidi yake ila wameshindwa pa kuanzia.
 
Kuna rafiki yangu Mwanza walimvamia nyumbani kwake. Wakamkata mapanga vibaya sana, mwanae mmoja akauawa kwa mapanga, kisha wakaingia ndani na kuchukua fedha zote zilizokuwemo. Jamaa mpaka leo ni mlemavu. Alivoona hii video aliongea kama ulivoongea. Mtu kama hayajakutokea utakuwa na huruma lakini kama kimekukuta vizuri, sidhani kama utaongea habari ya ubinadamu maana wao wakija huo ubinadamu hawana.

ukiona jambazi anaanza kwa kujeruhi au kuua.
1,mwenye mali kaonyesha nia ya kupambana naye.
2,wanajuana na mwenye malia kabla ya tukio hilo.

mwanza,arusha,mbeya ndio mikoa yenye historia za ajabu ajabu kuhusu ujambazi,unakuta mtu ana maisha yake ila ana code chafu kabisa gizani.jambazi hufocus kwenye target tu.
 
Back
Top Bottom