Korogwe: Mkurugenzi afunga ofisi na kuja jina la mgombea wa CCM. Mgombea wa CHADEMA nusura aporwe fomu

Muda umefika kuwe na electronic form submission, angalau kuna ushahidi wa kielectronic. Hili la hawa wakurugenzi ni usumbufu.
 
Dawa hapa ni electronic form submissions. Maana hii tabia imekuwa too much sasa, hata kama ukipewa picha; mtaleta hadithi kama za Mnyeti wakati ni mkuu wa wilaya. Rubbish
Electronic ndio mbaya sana,kila siku mtasaga meno
Unatuma fomu halafu mtandao unagoma utafanyaje?au fomu ikifika sivyo ulivyojaza utafanyaje
 
Mgombea wa chadema amefika ofisi ya msimamizi za 5 asubuhi , msimamizi katokea dirishani kakimbia , mgombea wa ccm kafika ofisi ya msimamizi saa 9 jioni wakati bado chadema wanasubiri , fomu ya ccm ikapitishwa chooni na kupokelewa kinyemela , hapo wawezaje kulaumu chadema mkuu , hii ilipangwa iwe plan B baada ya ile ya kupora fomu kushindikana , wajuzi wanasema ilipangwa kutoka juu na maagizo yote ya uharamia huu kapewa kihamia .
Nyie na uongo wenu, Mungu anawaona... Wakubwa zenu wanapanga mbinu zao za kisiasa, "Hapa hatushnd. Kwa hyo, Tchelewe kupeleka fomu, zitakataliwa. Bada ya hapo, tutapiga kelele kwamba tunahujumiwa. Marekani watasikia, Ulaya watakuja, magazeti yatasema.... Maisha yataendelea. "
 
Electronic ndio mbaya sana,kila siku mtasaga meno
Unatuma fomu halafu mtandao unagoma utafanyaje?au fomu ikifika sivyo ulivyojaza utafanyaje

Tanzania kuna mitandao zaidi ya 5, haiwezekani yote ikawa na shida, plus tutumie options mbalimbali, NEC wawe na site na fallback option iwe email. Mitandao ina ushahidi tosha, Rejea kesi ya Fast Jet na Mhozya uone power ya information

Fastjet yaamuriwa kumlipa abiria fidia ya Sh30 mil
 
rejea ulioitumia haijitoshelezi
Hapana najaribu kuendena na kilio kilio cha chadema cha kuhujumiwa. je ikitokea umejaza fomu mtandaoni wadukuaji wakaidukua fomu ikatoka una degree tatu wakati una diploma,bado tu hujaenguliwa?
 
Muda umefika kuwe na electronic form submission, angalau kuna ushahidi wa kielectronic. Hili la hawa wakurugenzi ni usumbufu.
Electronic sio nzuri kwa Africa changamoto ni nyingi sana we uoni ni rahisi hata mifumo ya kielectronic ikiwemo e payments ni rahisi kuiba kuibiwa kuchezewa kuliko mifumo ya manual.Mifumo ya kielectronic ni mizuri Kwa nchi zilizoendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie na uongo wenu, Mungu anawaona... Wakubwa zenu wanapanga mbinu zao za kisiasa, "Hapa hatushnd. Kwa hyo, Tchelewe kupeleka fomu, zitakataliwa. Bada ya hapo, tutapiga kelele kwamba tunahujumiwa. Marekani watasikia, Ulaya watakuja, magazeti yatasema.... Maisha yataendelea. "
Vyama vyote vichelewe ccm tu ndo wawahi inaingia akilini kweli,heri wangepokea hata za vyama vingine viwili vitatu hivi ili kuzuga kuliko kupokea form ya kijani chooni baada ya kupewa karani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ktk himaya (lusipher)ya shetani wasaidizi wote lazima wawe mashetani.kwenye ngome ya shetani huwezimkuta malaika na ikiwa malaika atapenya basi vita itakuwa kubwa ndani ya ngome na mwisho lucipher atawatimua wote walozembea na kusababisha malaika aingie katika ngome yao.Ili kuwa na amani lazima kizazi cha Lucipher kifyekwe chote na Lucipher akose nguvu na kujitakasa.
Kwa MTU anaesali Na mwenye utu pia kulinda utu Na heshima yake katu hawezi akawa sehemu ya uovu sababu nafsi yake itamsuta,Meck Sadik aliheshimu utu Na nafsi yake akaona hawezi shiriki uovu akaona ajivue na kukaa pembeni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie na uongo wenu, Mungu anawaona... Wakubwa zenu wanapanga mbinu zao za kisiasa, "Hapa hatushnd. Kwa hyo, Tchelewe kupeleka fomu, zitakataliwa. Bada ya hapo, tutapiga kelele kwamba tunahujumiwa. Marekani watasikia, Ulaya watakuja, magazeti yatasema.... Maisha yataendelea. "
Au labda walimpa mkurugenzi pesa ili afunge ofisi tangu saa 5! Ila Kama alipokea form ya “chama dume” chooni, dau litakuwa kubwa sana!
 
CHADEMA WAMEJITOA KIJANJA KOROGWE VIJIJINI, HAWAKUKATALIWA KUREJESHA FOMU.

Taarifa wanayosambaza Chadema kwamba mgombea wao amehujumiwa kwa msimamizi wa uchaguzi kukataa kupokea fomu zake sio za kweli.

Ukweli ni kwamba janja ya Chadema baada ya kuona mgombea wao ni dhaifu na asingepata kura hata 50 wakaona ni bora wajicheleweshe kurudisha fomu kwa makusudi halafu waje wasingizie kwamba Mkurugenzi amekataa kupokea fomu zao.
Chadema katika jimbo hilo wamejitoa kijanja kwani walishasoma upepo unavyokwenda hivyo wakaogopa kutumia gharama kubwa kwa ajili ya kampeni ilihali inajulikana wazi kwamba mgombea wao asingeweza kushinda.

Chadema inafahamika vizuri kwa kupanga maigizo ya kuwaumiza wafuasi wao kisha kuzisingiza mamlaka mbalimbali kuhusika ili ionewe huruma.

Augustino Chiwinga,
0659438889.
Kwa uzembe huu noaweza kubaliana na wewe.
 
rejea ulioitumia haijitoshelezi
Hapana najaribu kuendena na kilio kilio cha chadema cha kuhujumiwa. je ikitokea umejaza fomu mtandaoni wadukuaji wakaidukua fomu ikatoka una degree tatu wakati una diploma,bado tu hujaenguliwa?
Ndio maana nikakwambia kuna fallback options. Jaza physical form, scan it, attach it kwenye mail, send it to tume. Hata kama wao hawana ushahidi, mail host wanao, na kuna time and dates. Sasa kama hata ku-protect account nayo ni ngumu, hilo litakuwa lao
 
Matukio ya waandishi wa habari kupigwa na kunyanganywa vitendea kazi vyao kwenye harakati za uchaguzi,sorry uchafuzi,hujazisikia?
Unafahamu kuwa anayemlipa mpiga zumari ndiye mchagua wimbo?
"Nimekupa gari,nimekupa nyumba,nakulipa mshahara,halafu wewe unipigie wimbo wa Ufipa!? ".

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenielewa lakini?
Haiwezekani Hayo mambo yakatokea kila siku kwa namna ile ile bila kuchukua picha ya tukio.

Amini nakuambia unaowategemea wakuongoze kwenye mageuzi na demokrasia ni wasanii na wanafanya biashara k
Matukio ya waandishi wa habari kupigwa na kunyanganywa vitendea kazi vyao kwenye harakati za uchaguzi,sorry uchafuzi,hujazisikia?
Unafahamu kuwa anayemlipa mpiga zumari ndiye mchagua wimbo?
"Nimekupa gari,nimekupa nyumba,nakulipa mshahara,halafu wewe unipigie wimbo wa Ufipa!? ".

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu tubadili namna ya kufikiri kwanza. Tuache kufikirishwa na wapiga dili wanaoongoza vyama vya upizani.
Kuna biashara ya muda mrefu inafanyika kwa wanasaisa wa upinzani.
Hayo yote yanafanyika wakati ambao kuna watu sio waaminifu ndani ya chama.

Hivi akili yako mtu anaweza kumrikodi akari akiwa kazini atashindwa kurikodi tukio la kurudisha form ambalo lipo kisheria .
Sasa ngoja nikufungue macho; Wanaofanya hayo matukio ni watu wanaopangwa na wanachadema au wapinzani waliopewa fedha ili CCM wasipoteze nguvu zao kupiga kampeni kwenye jimbo ambalo wanauhakika wa kushinda.
Ni njama kati ya makada wa CCM wanaotaka kuokoa pesa za chama kwenye kampeni ambayo kwa tathimini yao wapinzani hawana wanachama wala wapiga kura wengi.
Kinachofanyika ni wagombea wa upinzani kupewa mpunga wao na ili wajitoe. Sasa kujitoa ndio wanatafuta mazongira mazuri ya kujitoa bila kushtukizwa. Mbinu wanayofanya ni kuandaa watu wa ama kuwateka au kujiteka wenyewe au kunyanganywa form.Au Kujifanya wamechelewa kurdisha form.

Hii mipango haiwahusu wenyeviti wa vyam wala mkuu wa Nchi.
Hii mipango ni ya viongozo wa kada ya kati na wagombea wenyewe. Ndio maana kamwe hawataweza kuchukua picha za hao wahuni wanaopanga nao kuja na kuwapora form.

Kuepukana na hizi biashara ni lazima Chadema kuondokane na viongozi wafanya biashara na wapenda fedha.
 
Ndio maana nikakwambia kuna fallback options. Jaza physical form, scan it, attach it kwenye mail, send it to tume. Hata kama wao hawana ushahidi, mail host wanao, na kuna time and dates. Sasa kama hata ku-protect account nayo ni ngumu, hilo litakuwa lao
Sio kwa Africa, asipofungua email je? Akisema technical problem haijafika on time je? Au imekosewa kujazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa Africa, asipofungua email je? Akisema technical problem haijafika on time je? Au imekosewa kujazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asipofungua.... kuna ushahidi kwamba ilitumwa kwa wakati, so ni tatizo la mpokeaji.
Kama ni technical problem upande wa mpokeaji, bado ni tatizo lake, kuna ushahidi kwa ilitumwa kwa wakati.

Maana hapa tatizo kubwa ni kutopelekwa kwa wakati, kufanya physically kuna changamoto nyingi. Haya hili linawezekana likawa ni fitna za Tume, lakini angeweza hata kupata ajali mgombea yeye mwenyewe, na fomu ikapotea na kushindwa kurudishwa.

Let's embrace technology
 
Pole sana ila hapo ndipo nilipoisifu serekali. Kuokoa fedha zetu za kwenda kupiga kampei na kura ambazo mshindi ameshashinda tiyari. Pesa hiyo wajengee madarasa shule za msingi na sekondari zetu za kata kule Korogwe. Ova.
 
Tunaoumizwa tuendelee kukaa kimya mpaka maumivu ya kukaa kimya yakiwa makali kuliko yale ya bunduki, mabomu na virungu

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Back
Top Bottom